Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,571
Jeshi la polisi, lina act on its own, kwenye public crimes only, lakini kwa private crimes, lazima mhusika aripoti polisi. Hata ile issue ya Lissu kuitisha press na kusema anafuatiliwa hadi kutaja number ya gari, Polisi hawakufanya chochote...kwa mazingira haya sio lazima pawepo na mlalamikaji. Hapa kuna harufu ya jinai na DCI alipaswa kunusa ili kupata ukweli.
Naendelea kusitiza humu, namna bora ya kuisaidia Chadema, sio kuimbeleza na kuulea uzembe kama huu, lazima tuikomalie ianze kufanya mambo the right way.
Kwenye hili la media kutotimiza wajibu wetu kikamilifu kwenye hili, nakubali responsibility, kiukweli madia yetu.....waandishi wachunguzi hawatakiwi kusubiri hisani ya Chadema bali wanatakiwa wawe pro active kuusaka ukweli toka NEC, Ofisi ya Bunge, na Chadema.
..mpaka sasa hivi hakuna muandishi aliyekwenda kuulizia jambo hili NEC. Hiyo inaonyesha waandishi wetu wamezubaa, au hawako makini ktk majukumu yao.
naomba nisiseme sana, waandishi wenye uwezo huo tupo, tatizo ni media zenye uwezo wa kupokea IJ za kihivyo...
hata kuwabaini wale wasiojulikana waliomshambulia Lissu, kwa wengine wetu ni kazi ya siku moja tuu!.
WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Wanabodi Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali yetu au kusubiri mpaka ishindwe, halafu kazi yatu iwe ni kuikosoa tuu, kuibeza na kuizomea kuwa...
www.jamiiforums.com
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa. Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza wajibu wake ipasavyo katika kuwabaini hawa watu wasiojulikana wanaohusika na matukio ya utekaji, utesaji...
www.jamiiforums.com