Spika: bahati mbaya sana kiongoz huyu hajitambui

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Zitto: Mbele ya Mkuu wa Nchi, Makonda amewabagaza wabunge ikiwemo wewe mwenyewe. Lakini maelezo unayoyatoa ni kana kwamba wewe si mkuu wa mhimili. Tunaomba mwongozo wako juu ya hili....

Spika: Kiongozi huyo (Makonda) hajitambui na wala hajielewi. Ni bahati mbaya sana tuna viongozi wa serikali wanaodiriki kumdanganya mkuu wa nchi hadharani...

Nb: mbona Kwa CAG Ndugai alikuwa mbogo Kwa huyu imekuwaje

Inatia hasira sana
 
View attachment 1138633

Spika DHAIFU.
 
Kweli makonda na baba yake wote hawajielewi, hapa naona ikulu kuna majungu sana na watumishi wanafanya kazi kwa woga wa kufukuzwa kazi
 
Spika amekutana na kigingi, eti natamani sana kusema zaidi, weeee jaribu uone
 
Tatizo ni kwamba Spika anamwogopa Baba mtu ambapo Kwa mamlaka aaliyonayo alitakiwa awe full combat na sio kulialia tena akiwa ndani ya Bunge...ndivyo alivyo hata kwenye mambo nyeti ya kitaifa na sio Kwa Kijana huyo tu
 
Pamoja na nguvu na ukubwa wa kiti chake ni 0, awamu hii INA vitimbi
 
Back
Top Bottom