Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Spika wa Bunge ampa Mbunge Halima Mdee saa 24 awe amefika bungeni mwenyewe au akamatwe na Polisi popote pale alipo kwa tuhuma za kumtukana.
Aidha Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge Freeman Mbowe ameagizwa na Spika Ndugai kufika mbele ya Kamati ya Maadili leo akituhumiwa kutukana bunge kufuatia uchaguzi wa EALA.
Pia Kamati ya Maadili leo imemuita DC Arumeru, Alexander Manyeti ambapo anatakiwa kutokeza mbele ya kamati hiyo kwa ajili ya kuhojiwa leo.
Halimaalivyotukana