Spika atoa rushwa kwa wabunge wa chadema????

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
Msimamo CHADEMA wamtikisa Makinda.

*Ni wakutomtambua Rais Kikwete.
*Awaita Mbowe, Zitto wateta.

Na John Daniel, Dodoma.
SPIKA wa Bunge Bi. Anne Makinda, amewashauri wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuta msimamo wao wa kutoitambua Serikali na
Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa msimamo huo unaweza kuwagharimu katika uwakilishi na utumishi wao ndani ya chombo hicho cha kutunga sheria.

Anna Makinda alisema"Unajua usipoitambua serikali maana yake ni kwamba huwezi kufanya kazi yoyote ndani ya bunge, zipo kamati nyingi, kuna nafasi mbalimbali za uwakishi wa wabunge katika taasisi, mashirika, vyuo na nje ya nchi sasa kama hawaitambui serikali maana yake hawawezi kuwakilisha katika nafsi yoyote.......
Inaendelea.............
Source: Majira Novemba 18, 2010

RUSHWA SI PESA TU BALI AHADI KWA KUMSHAWISHI MTU AKUBALIANE NA MATAKWA YAKO......Labda wanasheria mtatusaidia katika hili.
 
Uwakilishi bora ni ulio ndani ya Nchi yako na sio u carl peters! Hiyo Rushwa wakagawane na CUF!. Uwakilishi utakuja wenyewe na sio kwa njia ya kuchakachua haki ya mwenzio halafu danganya toto ya Uwakilishi wa nje ya nchi. Je Wabunge wote ni wawakilishi wa nje ya nchi!!??
 
Vitisho hivyo, kwanza ulitazamia AM angenyamaza na kuwaangalia tu? Lazima atishe na kutikisa aone kama kuna atakaye-recant
 
Vitisho hivyo, kwanza ulitazamia AM angenyamaza na kuwaangalia tu? Lazima atishe na kutikisa aone kama kuna atakaye-recant

.
Hizo pipi za bungeni spika agawane na cuf na biashara ya kuitishia chadema 'nyauuu' aache mara moja!
 
it is too late,CHADEMA must stand firmly.They must do what they have come into agreement,
they derseve the right to run out of the House just after the so called PREZDAA start the session,this is what we say DEMOCRACY .
CHADEMA MUST STAND STILL AND FIRMLY.THEY MUST NOT HESITATE AND GET FEAR,WORRY OR ANXIETY TO RUN OUT OF THE HOUSE.
This is a good start of the CONSTRUCTION OF THE "NEW CONSTITUTION" Then after,Wananchi will be intitled to compromise and the so called Presdaa will be assigned to run thru and "APPROVE IT FOR CONSTRUCTION."
Thanks Dr Slaa for opening Tanzanians eyes to see what is getting them into critical povertness.
 
JK yeye kama JK siyo serikali..........kwa hiyo kutomtambua JK haimaanishi ya kuwa kutoitambua serikali....................JK alie tu....................jibu ni yeye kukiri ya kuwa NEC iliboronga chaguzi hii na ufumbuzi upatikane...................
 
Back
Top Bottom