geophysics
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 904
- 167
Msimamo CHADEMA wamtikisa Makinda.
*Ni wakutomtambua Rais Kikwete.
*Awaita Mbowe, Zitto wateta.
Na John Daniel, Dodoma.
SPIKA wa Bunge Bi. Anne Makinda, amewashauri wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuta msimamo wao wa kutoitambua Serikali na
Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa msimamo huo unaweza kuwagharimu katika uwakilishi na utumishi wao ndani ya chombo hicho cha kutunga sheria.
Anna Makinda alisema"Unajua usipoitambua serikali maana yake ni kwamba huwezi kufanya kazi yoyote ndani ya bunge, zipo kamati nyingi, kuna nafasi mbalimbali za uwakishi wa wabunge katika taasisi, mashirika, vyuo na nje ya nchi sasa kama hawaitambui serikali maana yake hawawezi kuwakilisha katika nafsi yoyote.......
Inaendelea.............
Source: Majira Novemba 18, 2010
RUSHWA SI PESA TU BALI AHADI KWA KUMSHAWISHI MTU AKUBALIANE NA MATAKWA YAKO......Labda wanasheria mtatusaidia katika hili.