Spika atema cheche kwa wabunge wanaojikomba kwa Rais

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Huwezi kuwa na Bunge imara na huru wakati Spika mwenyewe au wabunge wake ni wanafiki na wanajikomba komba kwa muhimili mwingine hususani kwa rais.

Wala uimara au uhuru wa Bunge haupimwi kwa kuwaadhibu watu wanao kosoa utendaji wa hovyo wa Bunge bali Uimara na Uhuru wa Bunge huonekana ktk utendaji bora wa Bunge unao gusa maslahi ya wananchi.

Spika wa Bunge la Uganda leo amewaonya wabunge wa chama chake wanao peleka taarifa Ikulu kwa rais Mseven kuhusu utendaji wa Bunge hilo.

Spika huyo amewaleza wabunge hao Bungeni kuwa yeye ndio mwenye mamlaka ya kupeleka taarifa yeyote Ikulu kuhusu Bunge na halazimishwi na mtu yeyote kufanya mawasiliano na Ikulu ya Mseveni.

Spika huyo akiongea kupitia taarifa ya habari ya I.T.V saa mbili usiku leo amesema Mbunge atakaye jaribu tena kupeleka taarifa za Bunge kwa Mseveni atakiona cha mtema kuni.

Aidha Spika huyo ambaye ni mwanamke amekuwa na msimamo usio yumba kuhusu kulinda uhuru wa Bunge la Uganda na maslahi ya wananchi.
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Wanajitambua/Anajitambua sana na kuona muhimili huo ni sawa na muhimili mwingne
 
Nilitaka kushangaa nikadhani ni Spika wa bunge letu kumbe ni UG, huku kwetu ni kinyume kabisa juzi tu hapa spika wetu amekuwa mpole baada ya kusemewa kwa Rais na RC akabaki anajitutumua tu wakati deep inside alikuwa akiogopa
Rubber stamp! Na alijiuma kweli mtoto mpendwa nae kaenda angukia pua chezea mejiiiiii Mkenya hapo ni mbwa kala mbwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom