Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini

wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?
 
Hehehehehh..... Tunasubiri ifanye kazi maana sie tumekatazwa kulaani kwa hiyo tunamwachia mungu aamue mwenyewe...
 
Leo ndiyo Ijumaa, tusubiri kama watatoa laana yao katika Swallat'jumaa!
Nasikia leo huyo mama hakuingia Bungeni kwa sababu anaumwa....Tayari?
 
Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
Hizi dua tumezizoea na wala huwa hazina matokeo yoyote ya maana. Maana siku hizi hata kuku akidokoa mchele wanakimbilia tunakwenda kumsomea dua watupe matokeo ya dua ambazo wameshazisoma mpaka sasa hivi ili tuweze kuwaunga mkono kwa hii.
 
hizi dua tumezizoea na wala huwa hazina matokeo yoyote ya maana. Maana siku hizi hata kuku akidokoa mchele wanakimbilia tunakwenda kumsomea dua watupe matokeo ya dua ambazo wameshazisoma mpaka sasa hivi ili tuweze kuwaunga mkono kwa hii.
duhu. Huoni kila kiongozi wa chadema anakesi mahakamani? Hio ni mwanzo tu
 
Waislamu bwana! Walimuombea sana dua mbaya g.w bushi lakini bado akapiga iraq na afghanstan na bado anapeta tu.....ngoja tuone kwa makinda
 
waislamu bwana! Walimuombea sana dua mbaya g.w bushi lakini bado akapiga iraq na afghanstan na bado anapeta tu.....ngoja tuone kwa makinda
ok.lkn angalia viongozi wa chadema wanavyoahaha na makesi sasa. Ni dua tu ile
 
Bible inasema msilipe kisasi kwani anayeweza kulipa kisasi ni Mungu pekee.....sasa waislamu sijui uamsho hayo mambo ya dua ya nini?....nadhani inabidi waiombee dua serikali au wailaani bahari kwa kuchafuka na kuuwa watu wengi almost mara mbili mfululizo. sikubaliani na kitendp cha makinda na simpendi kabisa yule mama kwenye kiti kile ila misingi ya dini lazima iwe ya kujenga umoja na amani sio ya kuombea duambaya watu.
 
Dua za waislam hufanya kazi miongoni mwao wenyewe na majini yako huwa hazimdhuru mtu asiyekuwa muislam!
 
Dua za waislam hufanya kazi miongoni mwao wenyewe na majini yako huwa hazimdhuru mtu asiyekuwa muislam!

muulize dk slaa + Mnyika. baada ya kupigwa dua, kivuli chao wanakiogopa wanadai wanataka kuuliwa
 
Back
Top Bottom