Spika amzuia Mbunge kuzungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!!?

Mwanzo umedai humjui huyo mbunge Devota ni wachama gani lakini mwisho umemalizia kwa kusema ubabe wa CCM!!
Ubabe unaweza kuwa ndani na nje ya CCM. The fact is ubabe umetumika kumzuia Devota asiwasilishe swali lake...!!
 
Hahaha
FB_IMG_15737054103547969.jpeg
 
dah..we jamaa sijui wanakulipa kiasi gani aisee. yani unaboa mpk kichefuchefu
Mkuu, kuna watu humu sijui ni kazi au kukosa kazi. Kuna watu humu wanaanzisha nyuzi hafu wanajijibu wenyewe ...........!!
 
Back
Top Bottom