Spika amlima barua Rais akitaka maelezo kwanini usalama walivamia Bunge

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
755
1,000
UGANDA: Spika wa Bunge amlima barua Rais Museveni akitaka maelezo kwanini Maafisa Usalama waliokuwa wamevalia kiraia walivamia Bunge.

---------
The Speaker of Parliament, Ms Rebecca Kadaga, has asked President Museveni to explain the circumstances surrounding, and reasons for, the September 27 raid on Parliament by plain-clothed security operatives.

In an October 23 letter to the President, copied to the Prime Minister, Minister of Internal Affairs, Inspector General of Police and Commander of the Special Forces Command, the Speaker demanded for answers on identities of the operatives involved in the September intrusion, the motive and purpose for their deployment.

She also wants to know why they manhandled, arrested and detained Members of Parliament. Ms Kadaga also asked for the particulars of the operation commander.

“I have had the opportunity to view (closed-circuit television) camera footages of what transpired and noticed people in black suits and white shirts, who are not part of the parliamentary staff or the staff of the Sergeant-at-Arms, beating members,” Speaker Kadaga noted in her letter to the President.

She added: “I am, therefore, seeking an explanation to the identity, mission and purpose of the unsolicited forces. I am also seeking an explanation about why they assaulted the members of Parliament ... [and] an explanation why the members were arrested and transported and confined at police stations.”

The MPs were later released, although some remain under police investigation.

Source: Speaker Kadaga asks Museveni to explain Parliament raid
 
Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,950
2,000
Wanaomsifia huyo Spika ni kuwa hamjui Siasa za Uganda ama vipi??
Hayo ni maigizo tu,huyo Spika ndio Mkingaji kifua wa kwanza kwa Rais M7,huyo ndo alichangia kupitisha ongezeko la miaka ya kugombea hadi 70+ huyo ndiye aliyeruhusu mjadala wa Kuongoza hadi kifo uendelee mbele licha ya upinzani kuupinga vikali...

Swala la wale askari kuingia bungeni ni baada ya yeye kushindwa kuliendesha na kulicontrol bunge lake.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,037

.
Uko sahihi. Wabongo wanatoa majibu yao kimuhemko tu hapa. Hawazijui siasa za Uganda hata chembe.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,567
2,000
.
Uko sahihi. Wabongo wanatoa majibu yao kimuhemko tu hapa. Hawazijui siasa za Uganda hata chembe.
Kweli kabisa!

Wakati Dkt Tulia anaongoza Bunge walikuwa wanamlilia Ndugai Kama vile ni Malaika

Alikuwa Bunge akiongoza Dkt Tulia wanatoka, akiingia Ndugai ndo wanamuona Mfariji Mkuu!
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,464
2,000
Hapa kwetu Spika hua anapiga simu kwa Mzee kumuomba ushauri khs watu wa kuwaweka kwenye kamati.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,037
2,000
Kweli kabisa!

Wakati Dkt Tulia anaongoza Bunge walikuwa wanamlilia Ndugai Kama vile ni Malaika

Alikuwa Bunge akiongoza Dkt Tulia wanatoka, akiingia Ndugai ndo wanamuona Mfariji Mkuu!
Jamaa zetu hawana chema. Kiongozi akifuata kanuni kwao ni mbaya na hafai. Kiongozo akifuata matakwa yao wanasahau hata mabaya yake aliyoyafanya, tena wanasahau kuwa kuna kanuni zinatakiwa kufuatwa.
Ni ngumu sana kuwaongoza hawa watu.
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,466
2,000
Pamoja n.a. mapungufu ya Spika huyo, bado kuna cha kujifunza: mipaka ya kiutendaji baina ya mihimili ya dola iheshimiwe!
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,125
2,000
Kwa hiyo kuna watu wanategemea Mseven atajieleza kwa huyo mama?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom