Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
- Thread starter
- #21
Hawawezi kuwa kwa KATIBA hii.
Nguvu ya umma matata mkuu! Si unaona wanaanza kubadili suti wanajidanganya kwamba wamevua magamba? Kwani Makamba na Mukama wametofautiana umri miaka mingapi? Wanatofautianaje kifikra na uwezo wa kuelewa matatizo mapana ya wananchi?