Spika akataa swali za Suzan Lyimo kuhusu watumishi kutolipwa malimbikizo baada ya ahadi ya kupandishwa vyeo mwezi huu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Hili ni swali lililotokana na ileee barua ya katibu mkuu wa utumishi kuwa wale wanaotakiwa kupandishwa vyeo mwezi huu promotion zao zitaanza mwezi huu na hivyo kuondoa uwezekana wao watumishi hawa kulipwa malimbikizo yao ya karibu miezi 19.

Spika amedai kwakuwa ni barua huenda waziri mkuu akawa hajaiona hiyo barua na akaishia hapo na akatoa nafasi kwa swali lingine kutoka kwa mbunge mwingine.
 
Nimeshangaa sana aiseh!!

Spika ndugai kalikataa hilo awali akidai hiyo baruya katibu mkuu sio awali la kisera tena akidai maswali hayo ni mengi.

Utata wangu ni huu
Hivi ndugai ni waziri au spika?
Hivi inakuwaje MTU hujaulizwa unajibu je, ukiulizwa utafanya nini?
Hivi hajui kuwa hilo swali lilikuwa muhimu kwetu wafanyakazi kujua hatma ya haki zetu tulizozikosa for two solid years?
Kiukweli vitu hivi vinatuboa sana

Source TBC1 bungelive @0920hrs
 
Hili ni swali lililotokana na ileee barua ya katibu mkuu wa utumishi kuwa wale wanaotakiwa kupandishwa vyeo mwezi huu promotion zao zitaanza mwezi huu na hivyo kuondoa uwezekana wao watumishi hawa kulipwa malimbikizo yao ya karibu miezi 19.

Spika amedai kwakuwa ni barua huenda waziri mkuu akawa hajaiona hiyo barua na akaishia hapo na akatoa nafasi kwa swali lingine kutoka kwa mbunge mwingine.
KUB aliuliza maswali yako?!
 
Hapo kuna tatizo ila haki ya mtumishi ilindwe maana kuna watumishi wamepandishwa vyeo na wanalipwa tangu tarehe 2/2/2016.
 
Baba jesca atakuwa katoa maagizo. Sheria za kazi zinavunjwa kienyeji mno. Mwambieni baba jesca itamgharimu.
 
Waweke pamba masikioni kwao tu,ila siku watumishi wakichafukwa wasijelaumu maana hawatendewi haki kabisa,mimi mwenyewe nilipanda daraja 2014 June nimerekebishiwa mshahara may 2015,malimbikizo ya mwaka mzima yatokanayo na kupanda daraja sijalipwa mpaka sasa na mwakani nastahili kupanda tena!
 
Waziri mkuu hajui lakini mpaka mwalimu wa nanjilinji anajua kuhusu hiyo barua. Sasa anafanya nini ofisini au atasema kuwa hili sio jambo muhimu kama katiba mpya
 
INAUMA SANA, JAMANI CWT NA TUCTA MKO WAPI? KUNA WATUMISHI WALIKUWA NA MIKOPO BANK, HESLB WAKAJA NA 15% WAKAFYEKA BAADHI YAO KWA SASA WANA MISHAHARA YA 20,000/= NA CHINI YA HAPO, TEGEMEO LILIKUWA MALIMBIZO YAO NA MSHAHARA MPYA MWEZI HUU. LAKINI KWA YANAYOKEA MATUMAINI KWA MTUMISHI YANAFIFIA.
 
Back
Top Bottom