Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Mshana Jr umenikumbusha mbali sana , hii picha inajulikana kama ''struggling girl" lakini baadae ilijulikana kwamba ni mvulana . Ilipigwa na Kevin Carter huko Sudani Kusini ilionekana kwenye Gazeti la New York Times la March 26 1993 . Ni picha ya kusikitisha sana kwani alikuwa mita 50 tu kutoka kwenye kambi ya msaada wa chakula ya umoja wa mataifa. Kevin Carter alipewa zawadi ya Pulitzer Prize for Feature Photography . Lakini alijiuwa miezi minne baada ya kushinda zawadi alijiuwa. Huyu mtoto alikufa kutokana na njaa.
 
.
tapatalk_1561505972433.jpeg
 
Back
Top Bottom