Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Dogo alifariki,na jamaa mchukua picha alipewa tunzo ya picha bora. Wazungu roho mbaya sana.
Ii picha ilishake dunia nzima, ilipigwa na jamaa Somalia,.. Uyu mtoto alikua anaenda kweny camp ya chakula, wakapita maafisa wa UN, na mpiga picha,... Wakamwambia asimsogelee uyu mtoto kwa sababu anaweza kua na magonjwa yakuambukiza,... Wakamwacha apo, uyo Tai anasubiri uyo dogo afe amle,.. Hakuna anayejua kama dogo alifika camp ya chakula.. Very sadddd
 
.
hqdefault.jpeg
 
Back
Top Bottom