Spending So Much Kwenye Muungano: Does This Justify Tulipofuta Uhuru Just To Save ?!.

Wewe Unatafuta kutekwa na Swaiba wako DAB
Mkuu Comredi, mimi pia ni wa kule kule kwetu ni Kolomije, hivyo wote ni ma home boys wangu, we are safer kupita kipindi kingine chochote, si umeona kuanzia AG, DPP hadi CDF ni kule kule!, tungekuwa na senior Polisi na kule mahala kote pia tungewaweka!.

Paskali
 
Wanabodi,
Hii ni thread ya kuhoji

Spending So Much Kwenye Sherehe Muungano: Does This Justify Tulipofuta Sherehe za Uhuru Just To Save and Now we Spend So Much kwenye Sherehe ?!.

Nilikuwa natafakari gharama zilizotumika kufanikisha maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano jana pale Dodoma.

Mimi kama mwandishi wa habari wa kujitegemea kupitia mkakati wa Open Government Initiatives na sheria ya The Right to Information Act ninayo mamlaka ya kuiandikia barua serikali yangu kuiuliza sisi Tanzania kama nchi, tumetumia gharama kiasi gani kuandaa hizi Sherehe za Muungano Dodoma, (Nashauri Sherehe za miaka 54 Muungano tuzifanyie Zanzibar), ila sijauliza rasmi kwa kuiuliza "what for?", ila ninakereketwa na swali, hivi tulipofuta yale maadhimisho ya Uhuru mwaka ule tulifuta kwa sababu gani vile?!.

Naomba kuiuliza, hivi sherehe mbalimbali za kitaifa zinalingana umuhimu au kuna baadhi ya sherehe ni muhimu kuliko nyingine?!.

Mfano tulipofuta maadhimisho ya Uhuru ili to save money na kizielekeza kwenye maeneo mengine yenye umuhimu zaidi halafu miaka iliyofuata tukatumia fedha nyingi kuliko hata zile tulizo ziokoa kwenye ile sherehe tulioifuta kwa kufanyia sherehe nyingine mahali pengine more costly na kwa kwa mbwembwe kuliko hata sherehe za Uhuru, hivyo najiuliza ipi ni sherehe muhimu kati ya Uhuru na Muungano?.

Kama tuliwahi kufuta maadhimisho muhimu kama sherehe kwa lengo la to save, then tuka spend more kwenye sherehe nyingine of the same nature, does it justify reasons za kuifuta ile sherehe ya mwanzo?!.

Jee ni kweli maadhimisho yale yalifutwa just to save or just to get noticed?!.

Kama tulifuta to save, then wakati ule tulikuwa na shida sana, kama utekelezaji tuu wa budget tuliyoipanga at the last quoter ni less than 25% wakati ilipaswa kuwa 75%!, jee sasa tuna ehueni fulani kuichumi ku guarantee such spending?!.

Jee Tanzania tunacho hitaji ni maonyesho ya kuonyeshea tuna nini na tunaweza nini au tunahitaji kufanya vitendo vya kuonekanika, kama ni Tanzania ya Viwanda, sio maelezo ya viwanda na picha za viwanda bali viwanda halisi vinavyofanya uzalishaji mali!.

Kama tunaweza kufuta sherehe fulani kwa kuto justify the spending, then tuka spend more kwa sherehe nyingine less significant, hii sio double standards na wale waliotusifu mwanzo kwa kufuta spending kwenye sherehe, kweli hawatatushangaa sasa on how we spend more kwa kitu kile kile ambacho mwanzo tulikifuta kwa mbwembwe na sasa tuna spend kwa mbwembwe zaidi?!.

NB. Msije kuninyooshea kidole kuwa mimi ni mpinga Muungano, msimamo wangu ni Muungano wa nchi moja, serikali moja chini ya rais mmoja!.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then ...

Hapa swali ni dogo tuu, tumewahi kufuta maadhimisho muhimu ya Uhuru kwa kisingizio cha kubana matumizi kwenye sherehe, halafu leo tuna spend kwenye sherehe hizo hizo tena more than tulichobana!.

The only justification ni kama tulipofuta tulikuwa kwenye hali ngumu, lakini sasa tumepata afueni hivyo spending kwenye sherehe ziendelee!, jee tuna afueni yoyote?.

Alhamisi Njema.

Paskali
Sherehe ya muungano nayo ilifutwa ikajenggwa barabara ya kutoka furahisha mpaka uwanja wa ndege Mwanza. Nafikiri mpaka hapo umefahamu kuwa hakuna sherehe bora kuliko nyingine.
Huupendi muungano kwa asili yako tu. Unajua mwenyewe chuki yako na muungano ilipoanzia. Sherehe ya uhuru wa Tanzania bara ilifanyika. Ulikuja kusifia makomando na paredi la kimya kimya lilipochezwa kwa mara ya kwanza. Swala la gharama wala hukujua kama zilitumika. Leo sherehe za muunggano ndio zimetumika. Ukitaka kuruka agana na nyonga.
Aliamua mwenyewe kubadilisha matumizi ya sherehe na ameamua kushereheka. Yote heri kwa kuamua kutokushereheka ilikuwa ndia hatua za mwazo za kupunguza ujazo wa hela mtaani na kuziweka katika shughuli za maendeleo. Na kuamua kushereheka ni njia ya kuanza kuongeza ujazo wa hela kwenye mzunguko. Posho walizopata wanajeshi na watumishi wengine zitaingia kwenye mzunguko na sisi mafundi ujezi tutazipata tukawape mama lishe na magengeni.
 
Na hizi pia tungefuta ungekuja kivingine kwamba Raisi wetu ni dikteta na kwamba haikawahi kutokea Sherehe za Kitaifa kufutwa, basi tu ili mradi mpinge lkn ukweli ni kwamba hamna hoja na hamna hoja kwa sababu mnaishi kwa matukio mnapinga kile tu ambacho hakifanywi na haijalishi ni kipi!

Tumenunua Ndege mnapinga kwamba tununue Dawa Hospitalini wkt miaka yote mlikuwa mkilaumu kwa nini nchi yetu haina ndege, tumenunua lawama kwa nini tumenunua, tunajenga Reli mnapinga kwamba siyo muhimu, sasa sijui kuna jambo gani muhimu kwa nchi kuendelea klk Reli!

Jaribuni kuwa na msimamo, kama unapinga kitu pinga hata kama Dunia nzima ikiwa dhidi yako na siyo kubadilika na kupinga inapokunufaisha tu, lkn jambo hilo hilo likifanywa utapinga lisipofanywa utalaumu,...
Huyu jamaa haeleweki yupo kama kinyonga na kuna baadhi wanamchukulia serious.
 
Leo siku ya Muungano sio vibaya Tukijikumbusha mambo ya Muungano wetu adhimu ambao tutaulinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia Muungano mwema.
P.
 
Back
Top Bottom