CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Inasemekana ila sina uhakika(nachukulia kama tetesi), kuna dereva aliniambia kwamba vigamuzi vimesitishwa, wenye mabasi walifungua shauli kuwa vigamuzi vinalSitakwambia chochote lkn kuna basi la from Mwz-Dar nilishapanda miezi 2 iliyopita lilikua linatembea mpk 95-100km/h na nilijua hivyo sababu nina app kwny simu yangu ambayo inaonyesha mahali tochi za barabarani zilipo na hua inaonyesha speed ninayotumia(nikiwa na private car).
eta shot kwenye mabasi yao, hasa vikipiga kelele kwa muda mrefu vinaheat mwishoe vinaungua. Sina uhakika ila ndio nimesikia hivyo ndio maan siku hizi mabasi yanakimbia sana na kufika mapema.