Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

CRITICAL MIND

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
415
386
Leo dunia nzima itamsikiliza JK akiwakilisha salaam za rambi rambi zetu na dunia nzima itamtazama na itamsikiliza.

I just hope kuwa sister Premi Kibanga ataweza kuingiza mambo yote ambayo yatafanya speech ya Dr Kikwete kuwa the best na hii imekumbusha back in the day when JANUARY Makamba used to be his speech writer...

I hope JK atawakumbusha kuhusu role yetu na jinsi gani tulivyopoteza mali na uhai na maendeleo yetu ili kuwakomboa....

I just wonder JK atagusia points zipi lakini I'm sure itakuwa na mambo muhim na itagusia kila kitu and most importantly naamini itakuwa one of the greatest speeches ever delivered by JK

Thoughts...?
 
kwa wabongo hakuna lolote wataishia kusifia tu then hamna hata kuwaambia jinsi gani umasikini wetu wa kipato na fikra waliusababisha
 
Aya yako ya tatu inatoa maoni ya kujikweza na kulalamika - natumai haya hayatakuwa maudhui ya hotuba hiyo. Hapo ni msiba, la muhimu ni kutoa pole na kushuhudia/kusherehekea aliyoyafanya marehemu na kustahili kubakia kumbukumbu njema katika maisha yetu.
 
Leo dunia nzima itamsikiliza JK akiwakilisha salaam za rambi rambi zetu na dunia nzima itamtazama na itamsikiliza.

I just hope kuwa sister Premi Kibanga ataweza kuingiza mambo yote ambayo yatafanya speech ya Dr Kikwete kuwa the best na hii imekumbusha back in the day when JANUARY Makamba used to be his speech writer...

I hope JK atawakumbusha kuhusu role yetu na jinsi gani tulivyopoteza mali na uhai na maendeleo yetu ili kuwakomboa....

I just wonder JK atagusia points zipi lakini I'm sure itakuwa na mambo muhim na itagusia kila kitu and most importantly naamini itakuwa one of the greatest speeches ever delivered by JK

Thoughts...?

Who care? Wasouth wanataka kusikia tuna madini kiasi gani basi.
 
We hope so...I really do.... problem is our very own JK presidency is never short of surprises!
 
kwa wabongo hakuna lolote wataishia kusifia tu then hamna hata kuwaambia jinsi gani umasikini wetu wa kipato na fikra waliusababisha

acha ufinyu wa mawazo na mindset zisizo za uzalendo!
wa tz tubadilike jaman, tuache kujidharau na kujiponda na kuliponda taifa kwa kila jambo!
kwa mataifa mengine huwez kusikia raia wake ana kashifu au kuponda taifa bila kujali changamoto walizonazo.
tubadilie jaman...
Ashukuliwe Mungu mbali na sisi kujidharau, lakin mataifa mengine yanaendelea kutupa heshima!
 
Leo dunia nzima itamsikiliza JK akiwakilisha salaam za rambi rambi zetu na dunia nzima itamtazama na itamsikiliza.

I just hope kuwa sister Premi Kibanga ataweza kuingiza mambo yote ambayo yatafanya speech ya Dr Kikwete kuwa the best na hii imekumbusha back in the day when JANUARY Makamba used to be his speech writer...

I hope JK atawakumbusha kuhusu role yetu na jinsi gani tulivyopoteza mali na uhai na maendeleo yetu ili kuwakomboa....

I just wonder JK atagusia points zipi lakini I'm sure itakuwa na mambo muhim na itagusia kila kitu and most importantly naamini itakuwa one of the greatest speeches ever delivered by JK

Thoughts...?

Hypothetical as it may be...
 
Mama Banda anaendelea...lakini naona anaelezea chronology...tusubiri amalize

speech writer wa Ethiopia's PM ni mzuri

Nasubiri JK....I'm sure he will bring the house down considering asha attend sana misiba.
 
kwa wabongo hakuna lolote wataishia kusifia tu then hamna hata kuwaambia jinsi gani umasikini wetu wa kipato na fikra waliusababisha

Kwa mawazo kama Tz hatuez fika. Why unajidharau kiasi hiki wewe boya? Ebu jiamn
 
Joyce Banda anatiririka kwa uzuri kabisa. Makofi mengi mno, wasi wasi wangu ni brocken ya JK.
 
Joyce Banda anajiamini sana katika speech yake.

Namsubiri Baba Ritz
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom