Speech ya IGP Sirro na RC Makonda ni njia ya kujilinda dhidi ya nafasi zao

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,233
867
Habar wakuu,

Nlijaribu kufkiria juu ya hotuba za hawa wakuu nkaona hakuna la maana bali kuzitetea nafasi zao tu.

Kimsingi kiongozi anapofikia hatua ya kutafuta recognition kupitia press conference ni failure kiuongozi.

Hapakuwa na ulazima wa wao kuanza kututangazia nini kinaendelea huko kwny mifumo yao, hapa walitaka kumuaminisha mteuzi kuwa mambo kutokwenda kwnye maeneo yao ni watu wengine kujaribu kukwamisha movements zao.

Ukiwa senior leader unapaswa kuwa strategic thinker, uwe na uwezo wa kuface challenge na kuongoza gurudumu kwa kila linalokuhusu.

Hizi habari za kuanza kulialia kutaka kutambuliwa kinyadhfa ni mihemko tu wala hakuna mantinki yoyote kiuongozi.
Good morning
 
Ila Jana naona Sirro aliwaamulia kuwachana wenzake.

Wa kinondoni anaetaka u-IGPA Kachanwa.

Wa Dom Mroto suala la kusimamisha watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari kachanwa.

Wa Arusha aliyekua anaimba nyimbo za CCM pale AICC kachanwa.

Naona baada ya mabadiliko ya yule boss wa Usalama possibly amehisi he's next.
 
Hata mteuzi wao nae analialia tu kama mtoto mdogo badala ya kuchukua hatua.

Kimsingi awamu ya tano imejaa viongozi wengi wanaofanya mambo kwa hisia badala ya weledi.
Habar wakuu..
Nlijaribu kufkiria juu ya hotuba za hawa wakuu nkaona hakuna la maana bali kuzitetea nafasi zao tu.
Kimsingi kiongozi anapofikia hatua ya kutafuta recognition kupitia press conference ni failure kiuongozi. Hapakuwa na ulazima wa wao kuanza kututangazia nini kinaendelea huko kwny mifumo yao, hapa walitaka kumuaminisha mteuzi kuwa mambo kutokwenda kwnye maeneo yao ni watu wengine kujaribu kukwamisha movements zao.
Ukiwa senior leader unapaswa kuwa strategic thinker, uwe na uwezo wa kuface challenge na kuongoza gurudumu kwa kila linalokuhusu.
Hizi habari za kuanza kulialia kutaka kutambuliwa kinyadhfa ni mihemko tu wala hakuna mantinki yoyote kiuongozi.
Good morning
 
Ila Jana naona Sirro aliwaamulia kuwachana wenzake.

Wa kinondoni anaetaka u-IGPA Kachanwa.

Wa Dom Mroto suala la kusimamisha watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari kachanwa.

Wa Arusha aliyekua anaimba nyimbo za CCM pale AICC kachanwa.

Naona baada ya mabadiliko ya yule boss wa Usalama possibly amehisi he's next.
Dongo kwa Mambosasa ndo limefunika yote!
 
...Ni kama yule Mkulu aliyelialia Bungeni hivi majuzi kuwa Vodacom ni Wezi.....Swali muhimu la Kumuuliza hapa ni... Yeye amechukua hatua gani kulionfoa hili tatizo la Wizi wa Vodacom? Yeye skilia lia sisi Waumizwa wa kila siku tufanyeje??
 
Hahah yule mkuu alipaniki mpk akawa anaiita Vodacom ni Social Network hahah.
...Ni kama yule Mkulu aliyelialia Bungeni hivi majuzi kuwa Vodacom ni Wezi.....Swali muhimu la Kumuuliza hapa ni... Yeye amechukua hatua gani kulionfoa hili tatizo la Wizi wa Vodacom? Yeye skilia lia sisi Waumizwa wa kila siku tufanyeje??
 
IGP aliongea vizuri sana na aliongea vitu vya msingi sana hasa kumhusu RPC Dom na yule jamaa wa Arusha.

...........ila nashindwa kuelewa mnapotezaje muda kumsikiliza DAB.
 
Ila Jana naona Sirro aliwaamulia kuwachana wenzake.

Wa kinondoni anaetaka u-IGPA Kachanwa.

Wa Dom Mroto suala la kusimamisha watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari kachanwa.

Wa Arusha aliyekua anaimba nyimbo za CCM pale AICC kachanwa.

Naona baada ya mabadiliko ya yule boss wa Usalama possibly amehisi he's next.
Vipi kuhusu wale wanaodhaniwa "wasiojulikana" nao wamechanwa?
 
Ila Jana naona Sirro aliwaamulia kuwachana wenzake.

Wa kinondoni anaetaka u-IGPA Kachanwa.

Wa Dom Mroto suala la kusimamisha watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari kachanwa.

Wa Arusha aliyekua anaimba nyimbo za CCM pale AICC kachanwa.

Naona baada ya mabadiliko ya yule boss wa Usalama possibly amehisi he's next.
Aliongea logic. Jeshi la polis linahitaji mabadiliko within
 
Back
Top Bottom