Speech of President Kikwete at EITI Conference in Paris

Moderator futa hii thread! This is not Mr. President's Speech, please!
 
hahahahahahah.... hapana hiii kali mno!!!!

Yaani msingeweka speech...wala nisingeamini! Nilijua tu ni utani...

Jamani, kweli ni aibu kweli! Hii inaonyesha hata huyo anayemwandikia speech zake naye ni tatizo...POLE JK......lol
 
Wakubwa ile speech inatia huzuni, siyo ya rais, duh! hata sisi tulioshallow kwenye kiingereza wallahi siandiki hotuba kama ile cha KUNDIKA TU?
 
Wakubwa ile speech inatia huzuni, siyo ya rais, duh! hata sisi tulioshallow kwenye kiingereza wallahi siandiki hotuba kama ile cha KUNDIKA TU?

Umeisha msikiliza mkulu na pronunciation zake! Jamaa yuko shallow hapa sitaji GPA yake na uwezo wake wa kawaida.
 
Masikin prezdaaa wetu yeye binafsi kidhungu kinampa tabu sasa balaa linakuja hata hao walioajiriwa kumsaidia katika hilo nao giza tu ama kweli watz tunatabu.
 
The whole speech lacks 'language proficiency', tajiri naye hana proofreader - wanawaza viwanja!
 
JK: "Madam Chairman"

haina tofauti na ile cheque ya Exim

Mkwere bwana.


Akiambiwa kuna safari huwa hahariri hata presentation zake.

unatutia aibu JK

wazungu hawakumcheka kwa sababu walijua watatibua dili yao ya kuja kuvuna madini.
huyu baba lazima anamatatizo makubwa sana kichwani

juzi akilihutubia taifa kasema mabomu yalilipuka tar 17 feb
tena wiki hiyohiyo anasema madam chairman

hivi yeye huwa hatumii hata utashi wake tu kusahihisha upupu anaoandikiwa?
 
huyu baba lazima anamatatizo makubwa sana kichwani

juzi akilihutubia taifa kasema mabomu yalilipuka tar 17 feb
tena wiki hiyohiyo anasema madam chairman

hivi yeye huwa hatumii hata utashi wake tu kusahihisha upupu anaoandikiwa?

Dr Jakaya Kiwete on the blocks!
 
Kweli rais hatuna! Angeongea tuu kiswahili ili apige porojo kama kawaida yake, madam chairman! my foot, washazoea kuwanaga viongozi wa cdm kwa mipasho sasa mwageni sera za porojo na mipasho kwa english hola! Kweli english wito mpaka team inayomuandikia mkwere amejiwekea wapambe wake!
 
Mimi nataka mwandishi wa Rais afukuzwe kazi na afunguliwe mashtaka kwa kuidhalilisha Jamhuri ya Muungano. Makosa ni mengi mno ...

Prior to that, and, in the spirit of promoting accountability and transparency, mineral audit was introduced to enable the government monitor operations of mining companies...

The above sentence is missing something; this wouldn't have been an issue if this speech was delivered by Rufiji; however, we are talking about the president of our republic here thus we are going to hold him to a higher standard! These kinds of mistakes shouldn't be tolerated at all. Let me be clear, I am not blaming Mr. President on this one; instead, his communication team for fumbling their responsibilities. They were supposed to proofread this speech before handing out to our president.
 
Mtamfanya mwenzenu atafukuzwa kazi bure, aliyemwandikiaa aliyemwandikiaa?
 
JK: "Madam Chairman"

haina tofauti na ile cheque ya Exim

Mkwere bwana.


Akiambiwa kuna safari huwa hahariri hata presentation zake.

unatutia aibu JK

wazungu hawakumcheka kwa sababu walijua watatibua dili yao ya kuja kuvuna madini.

.
Kuna haja gani ya kujisumbua kuhakiki hotuba aliyoandikiwa wakati moyo wake umejaa furaha ya kusafiri na ni imani kubwa kwa Jk kwamba safari hii moja itazaa nyingine?
.
 
Yaani usanii uko kila idara. Rais msanii, UWT wasanii, mawaziri wasanii, Spika msanii - sasa unadhani umakini wa mwandishi utatoka wapi wakati siku hizi hupewi nafasi kwa competence uliyonayo isipokuwa unamjua nani kwenye system. Si ajabu mwandishi wa speech ni mwalimu wa shule ya msingi anayefahamiana na mama salma na aliunganishwa na mama salma kupata hiyo nafasi. Yaani hata ukimpa form one makini akuandikie speech angefanya kitu kilichosimama.
 
mi mtaalamu wa kidhungu, hamna makosa ya grama katika hiyo speech, mnyonge mnyongeni haki yake......
 
Back
Top Bottom