Speech of President Kikwete at EITI Conference in Paris

JK: "Madam Chairman"

haina tofauti na ile cheque ya Exim

Mkwere bwana.


Akiambiwa kuna safari huwa hahariri hata presentation zake.

unatutia aibu JK

wazungu hawakumcheka kwa sababu walijua watatibua dili yao ya kuja kuvuna madini.
 
"Excellencies Heads of State and Government present here today; " ...are the heads of only one state and government?



Yes. For instance in England,PM is the head of government while the Queen is the head of state. Mazee state na government ni vitu viwili tofauti. Kwa kiswahili tunasema dola(state) na serikali(government).
 
Duh! Katika hali ya kawaida watu wangepotezea. It would have just been a typing error. Ila katika hali ya sasa ni ngumu kupotezea. Mkuu kapotezwa. Huyo muandishi saa hizi kilio!

Ningependa sana kujua kama aliisoma hivyo hivyo au alisanda akarekebisha wakati anasoma.
 
8518099_orig.jpg


Huyo mama hamwelewi mkwere! Inaonyesha Kigugumizi kwenda mbele
 
8518099_orig.jpg


Huyo mama hamwelewi mkwere! Inaonyesha Kigugumizi kwenda mbele

Msee,
Mnawanafikisha wakwere kwa kosa la mtu mmoja, naona humu ni mkuki kwa nguruwe. Ngoja kuanzia leo nimbatize mbowe kwa kutumia mchanga na yule jamaa wa vijisenti msukuma, harafu mkono tangu leo ni mjita.
 
8518099_orig.jpg


Huyo mama hamwelewi mkwere! Inaonyesha Kigugumizi kwenda mbele

Huyo Mama ni Clare Short lazima anafikiria "Huyu Fisadi ana sema nini"

Clare Short, Secretary of State for International Development at the time the UK government approved the sale of an expensive and out-dated military radar system to Tanzania, writes:

"The Tanzanian Air Traffic Control system was small money by BAE standards. But the lengths they went to to sell an outdated military system to a country with no military need shows what a deeply corrupt culture they were working in. After being rejected once, they came back a decade later with half the project. By this time, Tanzania had debt relief and could only take on loans that were concessional. They then got together with Barclays and pretended to offer a concessional loan, which is an impossibility. By this time, Tanzania also had the offer of a European Investment Bank loan for a modern civilian air traffic control system also covering two other neighbouring countries, which was newer technology and massively cheaper.

My knowledge of this contract demonstrated with great clarity what a corrupt and dishonourable culture was prevalent in the company at that time."
 
Madame Chairman! hii imeniacha hoi kabisa. Kweli Presidaa tunaye.
 
Nilikua ninafuatilia hotuba ya Rais wa jamhuri ya Tanzania ndugu JK ktk mtandao wa michuzi leo. Nilichogundua ni kua alizungumza kama professional kwa maana hakuonyesha jazba. Sina maana kua kila alichozungumza ni sawa ispokua alikua professional in the sense hakuonyesha emotional. Ninafikiri unaweza kunielewa vizuri kama ulilinganisha hutuba kama ile kama ingetolewa na Gaddafi
 
Back
Top Bottom