Spectators swept up in dramatic tidal bore

Policemen and residents run as waves from a tidal bore surge past a barrier on the banks of Qiantang River ....
 
A photographer stands on a fence to take pictures as waves from a tidal bore surge past the barrier onto the walkway ...
 
Dah very very Sad,
Tuombe Mungu hawa majanga yasitokee huku kwetu, maana hizi Shida tulizonazo zinatutosha. Mgawo wa Umeme, Ufisadi, Kuibiwa Madini yetu, Kuporomoka kwa Shilingi yetu. to mention
 
Dah very very Sad,
Tuombe Mungu hawa majanga yasitokee huku kwetu, maana hizi Shida tulizonazo zinatutosha. Mgawo wa Umeme, Ufisadi, Kuibiwa Madini yetu, Kuporomoka kwa Shilingi yetu. to mention

Kabisa mkuu
Matatizo mengi tuliyonayo hapa TZ ni ya "KUJITENGENEZEA"
ni vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wa kibinadamu..

Hawa wenzentu wanakumbwa na hizi "Natural disaster "
bado wana uwezo wa kukabiliana navyo...

Seriously natural disaster yeyote ikitokea hapa kwetu...
"we're going to be in deep shit"...
 
Back
Top Bottom