Specifications za generator ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Specifications za generator ya umeme

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dingswayo, Jul 1, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Napenda kuwauliza wale wataalamu wa umeme: specifications za generator ya umeme unaowezesha kutumika kwa taa, fridge, jiko la umeme katika numba yenye vyumba kama vinne hivi, ni zipi?

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Jamani, hakuna wataalamu wa umeme humu?
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu Dingi, pole kwa jibu lililochelewa kidogo.Fanya mahesabu kidogo ya matumizi yako ya umeme.
  Una taa ngapi? taa ya kawaida ni watts 40, kwa hiyo kama una taa 10--400watts
  Friji yaako inatumia umeme kiasi gani? nyingine ni 500watts
  Je una pasi? 1000watts
  Jiko la plate ngapi? kama ni mbili kila moja 1000watts 2000watts
  TV na radio zina matumizi madogo, kama 300watts
  Hivyo basi jumla ya matumizi 4200watts
  Hivyo basi unashauriwa kununua jenereta kubwa kidogo kuliko matumizi yako ya karibu 5000-6000watts(au 5-6Kva) single Phase
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante hata mi nimeambulia, kwani sikuwa najua kv huwa zina maanisha nini? Huwa naishia kusikia ni nzuri ina kv sijui ngapi.. ohhh elimu haina mwisho asante sana Gwakisa

  Lakini Dingi, kwanini usiweke solar mkuu?, garama ya genereta, = running cost zake na risks hasa kama watumiaji si makini, kwa solar ungepeta zaidi. Uzuri wa soalar kama huna pesa ya kutosha unaweka ya kuazia then unakuwa unaendelea iongeza jinsi unavo pata pesa, haina risk za kulipuka, wala kuishiwa mafuta.
   
 5. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Solar electricity ni nzuri sana kama utakuwa na matumizi madogomadogo, lakini kwa matumizi yote aliyotaja Dingswayo siyo rahisi au vinginevyo utaingia gharama kubwa zaidi pengine kuliko hata generator.
  Mwenye swali au ufafanuzi kuhusu masuala haya ya umeme aniulize.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hakika mimi sio mtaalamu wa umeme. lakin suala la kutumia solar Tanzania ni risk sana hususan wakti a maintanace.

  Hakika solar ni expensive sana kufanya maintanance.

  nakushauri tumia generator itakusaidia sana na nakushauri tafuta generator ambao spares zake zipo available huko Tanzania
   
 7. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa.
   
 8. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Just to add..
  Kwa kawaida Tanesco wanafanya rating kwa wateja wa nyumba za kuishi yani Domestic Customers kuwa 3kW. Hii mara nyingi inakuwa ni single phase.

  Kwa wewe unaehitaji Generator ningependa kujua application zako ziko vipi? Je ni continuous load au utakuwa unaitumia intemittently kama standby unit?

  Kwa mahesabu ya hapo juu ni dhahiri kwamba unaweza kuchagua generator yoyote kwenye range ya 4-6kVA. Meaning with 4kVA utakuwa unaitumia hii Generator at almost 95% of its capacity ila for future expansion i advise ujaribu kuchukua 6kVA.

  The most important thing in buying these machines is the spareparts/after market support. Be sure of these issues when you buy any machine even cars cos the core business of any supplier of machines is not in the price of the machine but rather in the service and spareparts they sell after you buy the unit. Also things like warranty should be clear.

  I hope you got at least somewhere to start. If you have any queries you are welcome, you can PM or just add a post!!
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Asante sana nashukuru sana. Idumu JF!
   
 10. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  You are welcome....happy we could assist!!
   
 11. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kwa nini solar ni gharama....

  kwa matumizi ya taa na fridge anaweza akatumia solar through out the year
  alafu akatafu generator ndogo kwa ajili ya jiko, pasi
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Here is the complete guide to the approximate load that each of these devices requires. For diesel engine generators & backup power to be effective, proper generator sizing is essential.Appliance

  Run Wattage

  Start Wattage

  Emergency Requirements Basic Home:


  Refrigerator
  700
  2800
  Chest Freezer
  500
  2500
  Lights 10 at 75 Watts
  750
  750
  Microwave
  1500
  1500
  Television
  800
  800
  Gas Furnace Fan 1/2 hp
  500
  1250
  Total Basic watts (KW=1000 watts)
  4750
  9600


  Other Additions:


  Coffee Maker
  1100
  1100
  Dishwasher
  1500
  3750


  Air Conditioner


  12000 BTU
  2800
  7000
  24000 BTU
  4200
  10500
  32000 BTU
  5000
  12500
  Drill Motor, sm.
  500
  500
  Freezer
  500
  2500
  Frying Pan, lg.
  500
  500
  Frying Pan, sm.
  150
  150
  Laundry Dryer Gas
  500
  1000
  Laundry Dryer Electric
  5500
  6000
  Hair Dryer
  1500
  1500
  Heat Pump or Electric Heat
  10000
  10000
  Light Bulbs
  40
  40
  Light Bulbs
  60
  60
  Light Bulbs
  100
  100
  Light Bulbs
  150
  150
  Motors 1/2 hp
  500
  1250
  Motors 1 hp
  1000
  2500
  Motors 2 hp
  2000
  5000
  Oven - Electric
  6500
  6500
  Radio
  100
  100
  Refrigerator
  700
  2800
  Space Heater
  1500
  1500
  Stereo
  120
  120
  Stove Electric - Per Element
  1500
  1500
  Sump Pump 1/2 hp
  500
  1250
  Toaster
  200
  200
  TV, large
  800
  800
  TV, small
  100
  100
  Vacuum Cleaner
  250
  250
  VCR
  150
  150
  Water Heater - Electric
  4500
  4500
  Well Pump 1 hp
  1000
  2500
  Well Pump 2 hp
  2000
  5000
  Well Pump 3 hp
  3000
  7500
  Window Fan
  250
  250

  source: Home Generator Sizing - GAL Power Systems
   
 13. l

  lageneral Member

  #13
  Jul 4, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko kwenye hatua za awali za kuanzisha kituo cha redio jijini Mwanza ambacho kitakuwa kikisikika mikoa ya kanda ya ziwa.
  Redio hii itakuwa ikitoa taarifa za habari,michezo na muziki wa kila rika.Pia tutakuwa tukielimisha jamii kuhusu mambo ya uraia na demokrasia.
   
Loading...