kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 10,683
- 13,127
Safi sanaUkraine inazidi kusonga mbele
Safi sanaUkraine inazidi kusonga mbele
Source please,otherwise it is not worth the internet space it occupies.Recent updates as of 7.09🤔👇View attachment 2349616
Super pawer wa mchongo anazidi kulambishwa hasara tuTazama Ukraine walivyolipua maeno ya warusi wamekimbia wengine wamekufa sio kwa hasara hii
Wewe una mahaba sana ,unasahau wakati Russia wanateka hiyo miji vyombo vyote viliripot,mpaka ile siku Ukraine wanafurumushwa Kherson ,vyote vilionyeshwa,leo Ukraine ameanza kuwatesa mnadai uongo ,cha ajabu mnaokanusha hampo vitani ,walioko vitan hawajakataa kwamba Ukraine wanasonga mbele.endeleen na ubishi wenu mpaka tukishabeba chetu ,ndio mnene
Makofi kwakeKazi nzuri kutoka kwa comedian zelensiky
Ushaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuaminTusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa xa The Washington Post limesemaje lilipo muhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, kukatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo wanayo likumba jeshi la Ukraine - eye witness huyo, tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano:chukulia maigizo ya Zelensky juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wapwleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Only Junkies like him MkuuSio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.
Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
What a lame ..answer Mkuu ..ukiwa Media ..ili uheshimike jnahitaji a balanced reporting na sio matangoporiUshaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuamin
Urusi ina ushaid gan imewafurumusha Ukraine au ushaid gan uliopo kwamba Ukraine hawajasonga mbele.
Unajua mkuu mashabiki wa pro NATO na pro Russia wanajaribu kila mtu kuvuta upande wake ,ndio maana ya jukwaa ,hivyo mwisho wa siku field ndiyo itaamua .maana huku tunafurahishana tuu mda uende ,maana tozo zinatukabaWhat a lame ..answer Mkuu ..ukiwa Media ..ili uheshimike jnahitaji a balanced reporting na sio matangopori
Si vis pacem parabellum
Maandalizi ya kuinyakua Warsaw View attachment 2349869
LIVE
LIVE UPDATESLIVE UPDATES,
Russia-Ukraine live news: Belarus war games at Poland border.
By Joseph Stepansky
Published On 8 Sep 20228 Sep 2022
Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy” and regaining control over border regions, the defence ministry said.
The US has accused Russian forces of forcibly deporting Ukrainians to Russia, in Washington’s latest allegation of war crimes in the wake of the invasion of Ukraine
Leteni habari kamili yenye vyanzo vya kuaminika. Sio mnatulisha mwidu pori hapaLutenant wa Russia kawekwa kati huko khankiv ,kikosi chake chote kimefyekwa
SASA UNAMSUTA KAMA VILE PUTIN YUPO JF PRO NATO MMEPAGAWA
Mkuu sasa hawa mateka wa urusi wanaoonekana ni maigizo au kuna hadi picha ya liutenant wa jeshi la urusi wewe unasemaje kuhsu hilo?Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.
Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa katika mazingira haya, kama askari wao wamelambishwa na wakiwa alosto wanaambiwa lazima mwende huko frontline vinginevyo hupati kete, watakataaje!
Huwo wote nao ni usanii usio usanii ni zile mnazotuma nyinyi tu humu.View attachment 2350198View attachment 2350199View attachment 2350197View attachment 2350195View attachment 2350196View attachment 2350201View attachment 2350200
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Poland apigwe tu