Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Na vita ya US na shost zake kule IRAQ ilifukuza wangapi !!!??Idadi ya Waukraine waliokimbia bado haifikii idadi ya Wasyria waliopaswa kuondoka kwene nyumba zao . . . . Vita ya Putin katika Ukraine ilifukuza wengi. Alichangia pia Syria kwa kumsaidia dikteta Assad. Hasa ndegevita za Urusi zilichangia kuharibu Aleppo na miji mingi . . . . Vita ni balaa
Kwanza tunabishania kipi maana unaruka ruka hueleweki
Hujui hata unakiongelea kipi na kwanini unakiongelea
Punde ntaanza kua msomaji tu wa koments zako maana huelewi hata unakiongelea nn
Sent using Jamii Forums mobile app