Halafu ndo watafurahi pitin akifa.
Akifa Putin Kuna watu watata sana Russia Putin Mtakatifu.
Nimesahau jina wa aliokuwa kiongozi KGB mwengine ambaye na anatazamiwa kumrithi Putin na yeye ni noma sana sio kitoto endapo Putin atatoka madarakani kwa kumaliza mda wake au kwa namna yoyote basi jueni kuwa khna mwamba mwengine wa KGB nyuma yake
 
Hatakiwi kuonewa Huruma
Mwache atimize malengo yake hata kwa gharama ya kurudi kwenye uchumi wake wa 1990

Let The world know the colours za hawa wazungu through hii vita.
Malengo gani ,nitajie nchi duniani iliyopogana kuchukua eneo au kubadilisha mipaka ya nchi hata wakati wa ukoloni walishidwa ikabidi iwepo treaty Russia anapotrza tu nguvu zake kwa jina la operation
 
Recent updates as of 07.06.2022
My take:Bora Putin aachane na hii vita Haina maslahi yeyote kwake Wala kwa Urusi.Imeandikwa ,"Kabla ya anguko huanza kiburi"🤔
FB_IMG_16546611957469208.jpg
 
Kukopi kwa kijinga huku.
Tell me why you strongly believe I have copied.By the way hata Degree yangu ya kwanza,my Lecturer lecture zake ali-copy,sasa kuna ubaya gani mimi niki-copy.Na naamini kaelimu kako kama unako,Mwalimu wako ali-copy.

Na kuna ubaya gani hasa,mbona siuoni?.JF wenyewe wamesema "kama umepata taarifa yeyote mahali popote,as long as it is educative, lete hapa, bora isikiuke Sheria za JF!!!"So who are you to say no?It is simply bizarre.Lakini kama ni knowledge kuna ubaya gani hasa?It seems you are being used either kwa kujua au kutokujua.Wewe ni stooge and moron of some kind,ila hamta-tukatisha tamaa,we will expose the evil of the "Dark Forces," of which you seem to be part of,no matter what.

Sikiliza ndugu, as far as I am concerned,umeona kitu mahali,you think it will be useful for me in any way and others,copy it,bring it,sio shida,mbona sio MSc or PhD Thesis.Nia ni kupeana knowledge tu.Acheni kuwekewa maneno midomoni msiyojua hata agenda zake.

The bottom line I believe is this,kwa kuwa wewe ni kihiyo na huwezi,you believe everybody else can't,that is not true.Mimi I can,na more than this.Kwani huyo unayedhani nime-copy kwake ana nini zaidi yangu?Acha ushamba,acha ujuha,acha uzumbukoko,we can,kama huwezi ni wewe.....
 
Medvedev 😃

View attachment 2253571

Medvedev: I am often asked why my Telegram posts are so harsh.
The answer is I hate them. They are bastards and geeks. They want death for us, Russia. And as long as I'm alive, I will do everything to make them disappear.
huyu jamaa kichwani mwake ana kamusi la maneno ya dhihaka, dmitry medvedev si chawa kama alivyo manara, yeye ni akili kubwa. hapo anamwambia tena putin "wapemba wamekuletea tena mzigo wa mafuta ya nazi"
 
Binafsi huwa nasikitika sana ninaposikia bara la Africa linakuwa na njaa!!
Hatukupaswa kuwa na njaa kabisa bara lenye ardhi, rutuba, mito tunaliaje njaa.
Viongozi wetu wote kwa pamoja ni matheing sana.
Tatizo kuu la afrika asilimia kubwa ya decision makers ni wapumbavu na Siyo wajinga, viongozi wengi na wasaidizi wao waliopo kwenye madaraka wapo Kwa ajili ya kuhakikisha nchi za west zikitaka kutuibia kusiwe na ugumu

Nitakupa mfano kipindi cha miaka ya 60s afrika ilikuwa na wasomi na wazalendo wachache Sana, ndiyo maana baada ya Uhuru kulikuwa na watu walipewa vyeo lakini wakiwa hawana elimu kubwa wengi walikuwa wameishia darasa la nne la mkoloni

Sasa nchi za west baada ya kuona wasomi wachache waliosoma wanaanza kudai Uhuru na kupatiwa wakaja na mbinu mpya, ambayo ni Ku assassinate wale Wote waliokuwa na elimu, uzalendo na maoni mazuri juu ya afrika

Tuchukulie mfano mmoja wa Congo (zaire), baada ya Patrick Lumumba kuchukua nchi marekani kupitia CIA walimuua na kumpatia madaraka Mobutu seseseko, kilichofuatia ni Mobutu kujitangazia urais wa maisha na wale Wote waliokuwa wanaleta upinzani kwenye utawala wake waliuawa,

Mobutu akaanza kutengeneza washirika wake ambao ni wapumbavu ambao wao walikuwa wanajali matumbo Yao na si vinginevyo, hii kansa ulianzia ngazi za juu ikaambilukiza mpaka chini,

Ndiyo maana unaweza ukakuta mkuu wa polisi akakufunga kisa tu yeye kaamua au anataka rushwa kibaya zaidi huna pa kwenda, hebu jiulize Yule mgonjwa aliyepasuka akaenda hospital kushonwa nyuzi akakosa pesa ya kulipia Yule daktari akafumua zile nyuzi, kwanini akifanya vile????
ABDALAH ZOMBE aluwaua ndugu pamoja na dereva tax bila ya huruma hii ndiyo maana ya kuwa decision makers wapumbavu,. Yaani mtu anakufanyia Jambo baya na akijua kabisa ni Jambo baya Ila anakufanyia Kwa kuwa huna cha kumfanya,
Sasa viongozi kama hawa ndiyo mitaji ya mataifa ya magharibi pale wanapotaka kutuibia rasilimali zetu, yaani wanapifika kwenye suala la Ku bargain Kwa maslahi ya taifa, Wana wablackmail Kwa matukio mabaya waliyoyafanya, chukulia suala la gas ya mtwara hii ndiyo maana halisi ya wapumbavu wengi wameshika nafasi za decision maker
 
View attachment 2253637

⚔️⚔️⚔️Acceptance of captured Ukrotards Ukrainian defense is crumbling, there are more and more prisoners⚔️⚔️⚔️
tafsiri isio rasmi ya hiyo video. "wewe bwege amka na jitambulishe, naitwa pandu ameri kutoka chernobyl. wewe bwege kwa nini umejisalimisha kwetu haliyakuwa umepewa javelin". mzee mpapaso wenu ni wa hatari ndio maana nimejisalimisha
 
Yani wewe unaishi sayari ipi? Hujui kuwa ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine?

Au una maanisha NATO hawana siraha?
Labda kutokana na uwezo wa akili yake anaona kama USA na NATO wanaipatia Ukraine mawe, mishale na upinde.

mahaba yakizidi matokeo yake ni upofu wa akili na macho. hivyo nakuomba mkuu wangu UPOPO punguza mahaba kabla hujaharibika zaidi.
 
Labda kutokana na uwezo wa akili yake anaona kama USA na NATO wanaipatia Ukraine mawe, mishale na upinde.

mahaba yakizidi matokeo yake ni upofu wa akili na macho. hivyo nakuomba mkuu wangu UPOPO punguza mahaba kabla hujaharibika zaidi.
Naamini atakuelewa. Pia atenganishe kila anacho tamani kuwa Russia azidiwe na uhalisia kuwa Russia anawapiga vibaya Ukraine+NAT0
 
Yani wewe unaishi sayari ipi? Hujui kuwa ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine?

Au una maanisha NATO hawana siraha?
Sio Siraha ni Silaha.Nani kasema NATO na Russia wanaopigana ni Russia na Ukraine acha ujinga wa kujitia ushabiki maandazi .US na NATO wanatoa silaha na misada mingine.Kwa hiyo tuseme Urusi ,China ,Belarus nk wanapigana na Ukraine ,US ,NATO etc.Hiyo vita imetangazwa wapi .Watanzania kukuza mambo mpo.Karibu mtasema Ukraine inapikana vitata na Russia na JF .
 
Back
Top Bottom