Erdogan: Turkey expects concrete Swedish steps on ‘terrorism’
Turkish President Tayyip Erdogan says he told Sweden’s Prime Minister Magdalena Andersson that Ankara expects concrete steps regarding its concerns about “terrorist organisations”, the state-owned Anadolu news agency reported.

Waafrika tukijifunza kwa wazungu tutafika mbali...

Kuna mpuuzi mmoja wa Pro Russia anakwambia Turkey ni team Putin...

Turkey wanataka kuwa EU leo kesho
 
Ha ha ha kawaida tu Mkuu...😌


Yah ni kweli, jomba weye unashangaa Pro-Putin kupingana kwenye Issue ya Magu... Mbona hapa kitaaambo tu baadhi CDM wameungana na baadhi ya CCM kusimama upande wa Russia na hao hao baadhi wameungana kusimama upande wa Westerners.

Issue ni huwa ni kufanana kwa mitizamo, kisha kuungana kwa kile kilichopo mbele yenu kwa wakati huo 😂😂😂. Nyote mnavaa surual wa kiume na wa kike lakini haimaanishi kisa wamevaa wote surual basi wana jinsia moja.

Ko kupishana nje ya Russia we enjoy tu jomba.


Yah uko right mkuu, kufunzana na kuelimisha sio kukubalian kwa kila jambo bali kuelekezana kukubaliana kwa mambo yaliyo mengi.

Binafs mahaba sina, ila napenda kutizama vitu au kukaa upande wa vitu vinavyo make sense!

Pale nitakapoambiwa kua
A ni sawa na B,
B ni sawa na C,
C ni sawa na M... Basi nategemea pia kuona A ikiwa sawa na M, Otherwise logically hiyo equation haiko sawa.
Nimekusoma ......
Mimi n shangazi 😂😂😂😂😂natokea makao makuu ya kaskazini hivyo hakunaga lugha ya kike.
 
Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇

Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.

Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.

View attachment 2233228View attachment 2233229
View attachment 2233230
There's where utakubali kua Putin wa kwenye media za Magharibi hayupo Russia.

V Putin aliyepo Russia nachelea kusema ni moja ya Viongozi wachache sana duniani katika wanasiasa wenye utu na aliye mkweli kwenye kauli zake.

The Man is Humble, Calm, Wise and Humane, Approachable, Benignant, Gentle, Forgiving and friendly.

MSM zinafanya sana juhudi ya kumchafua, ingawa zinagonga mwamba kwa wadau tunaochanganya akili za kuambiwa na zetu wenyewe.
 
Khalifa Haftar
Nikutolee mfano wa Askari huyu ambaye ni maarufu mpaka Sasa hivi huko Libya. Huyu alishaachana na Jeshi la Gaddafy (R.I.P) miaka mingi kabla wahuni wa Benghaz wakisaidiwa na NATO hawajaanza kufanya uhuni wa kujaribu nchi Yao .
Maelezo ya kina juu ya Haftar kuwa askari aliyetemwa zamani yanapatikana ndani mtandao wa BBC.

Naomba mjadala juu ya Libya tuuache kwanza tuendelee na habari ya mjini, ya Ukombozi wa Ukraine kutoka mikononi mwa NeoNazi
====
Born in 1943 in the eastern town of Ajdabiya, Mr Haftar was one of the group of officers led by Col Muammar Gaddafi which seized power from King Idris in 1969.
Gaddafi put Mr Haftar - recently promoted to field marshal - in charge of the Libyan forces involved in the conflict in Chad in the 1980s. This proved to be his downfall, as Libya was defeated by the French-backed Chadian forces, and Mr Haftar and 300 of his men were captured by the Chadians in 1987.

Having previously denied the presence of Libyan troops in the country, Gaddafi disowned him. This led Mr Haftar to devote the next two decades towards toppling the Libyan leader.
He did this from exile in the US state of Virginia. His proximity to the CIA's headquarters in Langley hinted at a close relationship with US intelligence services, who gave their backing to several attempts to assassinate Gaddafi.

Return to Libya​

After the start of the uprising against Gaddafi in 2011, Mr Haftar returned to Libya, where he became a key commander of the makeshift rebel force in the east.

 
Erdogan: Turkey expects concrete Swedish steps on ‘terrorism’
Turkish President Tayyip Erdogan says he told Sweden’s Prime Minister Magdalena Andersson that Ankara expects concrete steps regarding its concerns about “terrorist organisations”, the state-owned Anadolu news agency reported.

Waafrika tukijifunza kwa wazungu tutafika mbali...

Kuna mpuuzi mmoja wa Pro Russia anakwambia Turkey ni team Putin...

Turkey wanataka kuwa EU leo kesho
Wazee wa kukurupuka kama kawaida yenu... jomba upo nyuma ya wakati sana... ndio maana kuna jamaa mmoja alisema hadi mfike balekhe muwaze kiutu uzma sio leo wala kesho.

Kwa taarifa ako sasa e ndugu yetu na bongo yako kubwa size ya panzi...

Ni kua... "If Stockholm and Helsinki do not show that they are in solidarity with Turkey, then we will not support their admission to NATO."

This was stated by Erdogan after talks with the Secretary General of the alliance, as well as with the leaders of Sweden and Finland.

The Turkish president also demands that Stockholm abandon the restrictions imposed on Ankara after its invasion of Syria in 2019.

Hizo ni demand ambazo Finland na Sweden wamezigomea,

The speaker of the Finnish parliament said that the country will not change its legal norms because of Turkey - this is how he responded to Erdogan's call to stop supporting terrorist organizations

Je kila mmoja akisimamia misimamo yake unajua nini kitafata?

Tulizeni mishono hiyo muzifatilie siasa za kimataifa kwa akili sio mihemko na mahaba ya kindezi hivo. Kiasi taarifa ikiwa twisted kidogo unakosa cha kung'amua...

Nyie watu mizigo sana, hivi huwa mnavukaje bara bara kwanza
 
Mariupol jiji.lililokuwa na watu laki tano mrusi kaua elfu ishirini zaidi ya wakazi laki nne wa mariupol wameukimbia mji.Waliobaki ni chini.ya laki moja

Shule zote na hospitali na maduka na miundombinu ya umeme na maji na reli na barabara na bandari mrusi kabomoa

Anachokalia mariupol ni magofu
.Hajatwaa mji katwaa magofu yake aliyoyabomoa

Hata asimike utawala wake utakuwa wa kutawala magofu yasiyo na miundo mbinu wala huduma za kijamii wala watu.Waliobakinni vikongwe na wasiojiweza walioshindwa kukimbia vita
Mimi bado nakukumbusha ahadi yako uliyoahidi, jiandae
20220521_191450.jpg
 
Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇

Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.

Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.

View attachment 2233228View attachment 2233229
View attachment 2233230
Huu ni ushindi mwingine kwa Russia,
Ndugu au wake wa Mateka Hawa wakisikia maneno hayo wanajua kweli Warusi hawana chuki na WA Ukraine,wao Wana chuki na NATO TU.
 
Ukweli ni kwamba Russia, ana silaha za Vita ambazo hakuna nchi imewahi kuzifikiria ila zimefichwa kwa code's nzito Sana. Marekani amejitahidi kutoa misaada mingi ya silaha lengo alitaka kuona Russia ana silaha gani mpya!? Mwanzo Russia aliamua kutumia silaha za kawaida tu, wamarekani walipo mwaga mi drone ya kutosha, Russia akaona isiwe tabu akatoa silaha yake mpya Lazer ambayo inaunguza drone kabla hazipiga shabaha, na hiyo ni moja, Je zingine ambazo bado zimefichwa!!!!?

Hii Vita Ukraine na NATO, wakubali masharti ya Russia ndo suluhisho vinginevyo nchi ile itakuwa magofu yote!!
 
Back
Top Bottom