Nimekuliza swali ujanipa jibu.niambie silaha ambayo India aliwahi kutengeneza.india ni kama vile Tanzania tu.silaha zote nzuri ananunua.bora hata Pakistan kuliko India
Mada ni Su 57 Vs F-35.
Hujajibu hoja unakimbilia kwenye silaha za India.

Hata Russia tuliambiwa ina air defense bora duniani lkn ukweli tumeuona kwenye hii vita baada ya Ile Meli yake iliyojaa air defenses za kila aina kubutuliwa na Makombora mawili tu Neptune ya Ukraine.

Karibu Robo tatu ya silaha za India ni toka Russia kwahiyo unavyosema Bora ya Pakistan (yenye silaha za Marekani na Mchina) kuliko India unamaanisha silaha za Urusi zinazonunuliwa na India ni piece of ?!
 
Kwanza unatakiwa kujua Sukhoi 57 ni ndege ya Warusi peke yao wala hakuna mkono wa mtu pale.

India na Urusi walikuwa na project ya ndege inaitwa Sukhoi/HAL Fifth Generation Fighter Aircraft. Ni copy ya SU-57
Ndo usome uelewe,kabla ya wahindi kukubali kuivest fedha zao kwenye project mpya ya stealth fighter jet warusi waliwapelekea prototype ya Su-57 wajirishishe Kwanza ambayo wakati huo iliitwa T-50. Ndipo wahindi waliikataa hiyo ndege wakisema haijainjiniwa vizuri kama ndege ya kizazi cha tano...wakajitoa kwenye project.
 
Baadae India ikaamua kununua Rafale toka Ufaransa.
 
Ndo usome uelewe,kabla ya wahindi kukubali kuivest fedha zao kwenye project mpya ya stealth fighter jet warusi waliwapelekea prototype ya Su-57 wajirishishe Kwanza ambayo wakati huo iliitwa T-50. Ndipo wahindi waliikataa hiyo ndege wakisema haijainjiniwa vizuri kama ndege ya kizazi cha tano...wakajitoa kwenye project.
Wewe ndo inabidi usome vizuri upate kuelewa.hii ndege ina muda gani alafu mkataba wa wahindi na Urusi ulianza lini.utapata jibu.
Screenshot_20221203-132136_Chrome.jpg
 
Wewe ndo inabidi usome vizuri upate kuelewa.hii ndege ina muda gani alafu mkataba wa wahindi na Urusi ulianza lini.utapata jibu.View attachment 2434365
Wahindi walijitoa 2018,hata sijui unazungumzia nini!

But New Delhi pulled out of the co-development deal in April 2018. According to Indian air force officials, the Su-57 was too expensive, poorly engineered and powered by old and unreliable engines.

The Indians’ complaints illustrated the yawning gulf between stealth-warplane design and the actual production of radar-evading jets. It’s one thing to sketch an advanced warplane on paper. It’s quite another to build one and get it to work.
Why India Rejected Russia's Advanced Su-57 Fighter Jet
 
Project ya ndege ya pamoka kati ya Urusi na India ulishakufa kwa iyo hata ndege moja haikuwahi kutoka.ila SU-57 ni ndege ambazo zinaendelea kutengenezwa na ilishaonekana kwenye anga la Syria na pia imeonekana Ukraine.usichanganye vitu kama ujui.

Hapo ni vitu viwili tofauti.jaribu kuelewa
Screenshot_20221203-132814_Chrome.jpg
Screenshot_20221203-132136_Chrome.jpg
 
Haya majitu hayajali kabisa uhai wa wenzao. Hivi leo Marekani ma washirika wake wanaposema na kushinikiza mazungumzo na Urusi kumaliza vita Ukraine wanajisikiaje?

Majinga yalimjaza upepo Zelensky kwa kujipiga kifua leo hii baada ya Ukraine kupoteza ardhi, rasilimali, uhai na uchumi wake ndo wanasema wako tayari kwa mazungumzo?

Hivi Zelensky hajioni kama kawa pumbavu wa kutupwa? How does it feel to the families of the Ukrainian soldiers who died in the battle field believing they were fighting for the freedom of their country! That it was only through the barrel of a gun that they could secure their freedom because diplomacy was put aside?!
Mimi naona vita iendelee tu kwa kweli, hapa walipomfikisha Zelensky hakuna sababu ya mazungumzo.

Zipigwe tu maana walishachagua njia hiyo. Alafu Urusi wala hajaomba mazungumzo. Waachane na hoja ya mazungumzo, waendelee kupeleka silaha vita iamuliwe ulingoni.
Ndo maana Putin kawaaambia watambue kwanza majimbu mapya ya urusi😂😂😂😂
 
Wahindi walijitoa 2018,hata sijui unazungumzia nini!

But New Delhi pulled out of the co-development deal in April 2018. According to Indian air force officials, the Su-57 was too expensive, poorly engineered and powered by old and unreliable engines.

The Indians’ complaints illustrated the yawning gulf between stealth-warplane design and the actual production of radar-evading jets. It’s one thing to sketch an advanced warplane on paper. It’s quite another to build one and get it to work.
Why India Rejected Russia's Advanced Su-57 Fighter Jet
Ndege ya india na Urusi ipo picha tu ya design ila su 57 ishatengenezwa na inatumika
 
Kama Su-57 ingekua Bora India asingejitoa kwenye hiyo Project.

India ilisema wazi hairidhishwi na uwezo wa hiyo ndege ukilinganisha na ndege nyingine za kizazi cha tano

Delays were caused by New Delhi and Moscow disagreeing over many fundamental aspects of the joint development project including work and cost share, aircraft technology, as well as the number of aircraft to be ordered. After evaluating the first PAK FA T-50 [Su-57] prototype (the Russian prototype of the PMF), the [ IAF] wanted more than 40 changes addressing, among other things, perceived weaknesses in the plane’s engine, stealth, and weapon-carrying capabilities.
India Pulls out of Joint Stealth Fighter Project With Russia

Hawa ni wahindi wenyewe wala sio Mimi Mjukuu wa Bitozo hapa Tandale kwa mfuga mbwa

According to Indian air force officials, the Su-57 was too expensive, poorly engineered and powered by old and unreliable engines. The Indians' complaints illustrated the yawning gulf between stealth-warplane design and the actual production of radar-evading jets.
Why India Rejected Russia's Advanced Su-57 Fighter Jet
Kwani kujitoa kwenye project kuna sababishwa na ubora tu waproject husika ama!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tangu lini msimamo wa Marekani ulibadilika?!

Na Biden hakuomba mazungumzo na Putin kama mnavyotaka kupotosha Ila alisema atakaa chini na Putin iwapo tu ATAONDOA MAJESHI YAKE NDANI YA UKRAINE. Kama hilo halijafanyika bhas hakutakua na maana ya kukaa chini kuzungumza.

Na ameshaomba Congress $34 billion ili kuendelea kufund vita ya Ukraine.
Kwani ile 40 ya awali iliishaisha mara hii

Kaomba maana RUSSIA walisema wazi kua mazungumzo yasihusishe sehem zao mpya walizopewa nawa UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
️Japanese authorities fear Russian retaliation after G7 countries and Australia agreed to impose a ceiling on Russian oil prices at $60 per barrel - Kyodo news agency

Hv kwa anaejua kabla ya hao G7 kupitisha hili wazo lao pipa moja la wese lilikua lauzwa kiasi gani na UCHINA na INDIA walipata punguza yakuuziwa kiasi gani

Ila kama mpaka wenyewe wanaanza kulia lia nanna hii hakuna litakalokua hapa

Kwawanaojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajibiwa kulingana na mnavyokuja, popote kambi.
Sio lazima kila mtu awe na mtizamo wenu, nyie mliamini kwenye demilitarization ya wanajeshi wa Ukraine, kibao kikageuzwa leo Urusi ndio wanapigwa za uso na kuwa demilitarized.
Rais wa EU yule mama mwembamba "kamwaga maharage", anasema zaidi ya askari 100,000 wa Ukraine wame'sagwa'. Na waendesha operation ya demilitarization and denazification walisema EU na US +UK wanatumia askari na raia wa Ukraine kama 'canon fodder'( naweza kuwa nimekosa kuandika fungu hili la maneno). Yaani walikuwa wanatumwa mstari wa mbele wa mapambano kama chambo. Sasa Rais wa EU kakiri.

Mbaya sana hii.
 
Venezuela’s largest oil refinery has suspended operations

Axel Lloyd unaona habari njema kwa RUSSIA tokea huko VENEZUELA

juzi hapa mlisema US anaenda kuchimba wese huku kufidia gape la RUSSIA

Hii SVO kina PUT IN hawakukurupuka walijipanga sanaaa

Mmeeka bei elekezi na huku wese munakosa mtarudi tena RUSSIA kumpa faida mara dufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa EU yule mama mwembamba "kamwaga maharage", anasema zaidi ya askari 100,000 wa Ukraine wame'sagwa'. Na waendesha operation ya demilitarization and denazification walisema EU na US +UK wanatumia askari na raia wa Ukraine kama 'canon fodder'( naweza kuwa nimekosa kuandika fungu hili la maneno). Yaani walikuwa wanatumwa mstari wa mbele wa mapambano kama chambo. Sasa Rais wa EU kakiri.

Mbaya sana hii.

Mama mgani huyo mtamtegemea, vita viko frontline na vitaishia Crimea, Urusi ameishiwa wanajeshi tena kwenye nchi ya watu.
 
Project ya ndege ya pamoka kati ya Urusi na India ulishakufa kwa iyo hata ndege moja haikuwahi kutoka.ila SU-57 ni ndege ambazo zinaendelea kutengenezwa na ilishaonekana kwenye anga la Syria na pia imeonekana Ukraine.usichanganye vitu kama ujui.

Hapo ni vitu viwili tofauti.jaribu kuelewaView attachment 2434375View attachment 2434378
Wewe ndo huelewi unarukaruka kama maharage. Hata kwenye hiyo paragraph ya Wikipedia wamekuandikia "concept based on Russian Su-57".

Kabla wahindi kuanza kufund hiyo project Urusi iliwapelekea prototype ya Su-57,wakati ule T50 ili wahindi waifanye evaluation ndo pesa itoke. Wahindi kuichunguza prototype wakasema ni poor designed,ina engine mbaya na hata stealth profile yake hairidhishi ndipo wakaamua kujitoa. Sasa ww hapo unachobisha ni kipi?! Wakati wataalam wa India wenyewe ndio waliotoa hizo feedback.

Unadhani watu hua wanatoa ela Tu kununua au kufund project fulani lazima assesment ifanyike wakiona project haina maslahi wanajitoa,mbona India haikujitoa kwenye project ya pamoja (na Russia) ya kutengeneza Brahmos missiles?!. Si sababu ilikidhi mahitaji Yao.

Kwanini haikujitoa kwenye project ya pamoja na Israel kutengeneza Barak air defense systems based on Israel's Barak system.

Hata Australi ilijitoa kwenye deal la kununua diesel submarine toka Ufaransa wakakimbilia Nuclear submarine ambazo itazipata toka kwa Marekani & Uingereza chini ya AUKUS.
 
Back
Top Bottom