vunjo

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,196
2,370
Tazama Ukraine walivyolipua maeno ya warusi wamekimbia wengine wamekufa sio kwa hasara hii

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
10,142
12,496
Wewe una mahaba sana ,unasahau wakati Russia wanateka hiyo miji vyombo vyote viliripot,mpaka ile siku Ukraine wanafurumushwa Kherson ,vyote vilionyeshwa,leo Ukraine ameanza kuwatesa mnadai uongo ,cha ajabu mnaokanusha hampo vitani ,walioko vitan hawajakataa kwamba Ukraine wanasonga mbele.endeleen na ubishi wenu mpaka tukishabeba chetu ,ndio mnene

Sio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.

Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
 
mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,878
Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa xa The Washington Post limesemaje lilipo muhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, kukatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo wanayo likumba jeshi la Ukraine - eye witness huyo, tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano:chukulia maigizo ya Zelensky juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wapwleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Ushaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuamin
Urusi ina ushaid gan imewafurumusha Ukraine au ushaid gan uliopo kwamba Ukraine hawajasonga mbele.
 
Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,834
1,291
Sio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.

Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Only Junkies like him Mkuu
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,636
6,463
Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.

Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
10,142
12,496

Maandalizi ya kuinyakua Warsaw View attachment 2349869
LIVE

LIVE UPDATESLIVE UPDATES,

Russia-Ukraine live news: Belarus war games at Poland border.

By Joseph Stepansky

Published On 8 Sep 20228 Sep 2022

Russia-ally Belarus has launched military exercises near its border with Poland. The drills will focus on “liberating territory temporarily seized by the enemy” and regaining control over border regions, the defence ministry said.

The US has accused Russian forces of forcibly deporting Ukrainians to Russia, in Washington’s latest allegation of war crimes in the wake of the invasion of Ukraine

Russian forces war crime -my foot!! Je Russia ikisema former Rais wa Merikani Bill Cliton nae aburuzwe the Hague for war crime commited by invading former Yugoslavia na kuwaua raia wasio na hatia - hapo Wamerika watajibu nini? Wasilete mambo ya mkuki kwa Nguruwe - na wao wana mashitaka mengi tu na makubwa ya kujibu, wasitumie vitisho kwa malengo ya kisiasa.
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,636
6,463
Ukraine's counteroffensive in the south is unfolding successfully, and if there are no unexpected turns, the Armed Forces of Ukraine could de-occupy Kherson by October — former chief of the French military mission to the United Nations, General Dominique Trinquand By western blog.

Taarifa za frontline hazieleweki wajameni . Ni propaganda huku watu wanakufa
 
kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
2,276
5,746
Ukraine kajiingiza Kherson kapoteza artillery kiwango kikubwa ameona astopishe. City Centre ya Kharkiv ipo chini ya Mrusi kumbe mrusi alishainyakua Kharkiv sie tunaletewa vi clip tu . SASA Ukraine anastooisha counter offensive Kherson anahamishia mashambulizi Kharkiv. TUSUBIRI tuone maana Kharkiv ndio mpaka wa mother Russia na Russia kashafungulia bomba TUSUBIRI report mpya . Vita itaisha ghafla maana Ukraine kaamua kujitokeza mazima badala ya kusubiri kwenye mahandaki.

Nimeelewa kwamba Russia hakutaka kusogea Alitaka watoke wenyewe kwenye ngome zao ndio maana West walikua wakiiponda Russia haipigi hatua Ili Russia aingie kichwakichwa.
Mkuu sasa hawa mateka wa urusi wanaoonekana ni maigizo au kuna hadi picha ya liutenant wa jeshi la urusi wewe unasemaje kuhsu hilo?
 
97 Reactions
Reply
Top Bottom