Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,542
- 34,868
Waliomuua Gadaffi ni raia wa Libya, sababu ya Maduro kuwekewa vikwazo inafahamika.Wakikataa misada yao naujinga wao c wanawaua kama GADAFI au vikwazo kama MADURO
Waliomuua Gadaffi ni raia wa Libya, sababu ya Maduro kuwekewa vikwazo inafahamika.Wakikataa misada yao naujinga wao c wanawaua kama GADAFI au vikwazo kama MADURO
Na jinai yote hii hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.
Tazama BBC swahili muda huuhizo habari umetolea wapi ?
😄😄😄 Jamaa angu naona mshipa wako wa aibu ulishakatika kitambo.Kwa hiyo ni jukumu la Urusi kuihukumu Ukraine ?
Kwa hiyo jinai zao zinahalalisha jinai za Urusi ?
Ile ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yake
Natamani sana Ukraine i-merge na Poland ili kichapo kihalalishwe kuwahusu na hao wakimbizi wa tengeru.Ukraine will have to sit down at the negotiating table with Russia, Yanukovych said.
He also added that Ukraine may be forced to actually merge with Poland.View attachment 2241220
Hahah Iran hua nawakubali Sana kwny tit for tat,Uingereza anawajua vzr Sana kwny zile meli zake.Breaking: Iran seizes 2 Greece-owned & flagged tankers in retaliation for Iranian oil seized off Greece earlier by US authorities (@lloydslisted exclusive story here:https://t.co/yx5mTrC6dt) suezmaxes are Prudent Warrior & Delta Poseidon. https://t.co/IrKmWzfD7f for updates https://t.co/SiRfkuH5iN
Kusoma hoja za pro Russia hadi burudani.'Wataalamu walisema ile ni professional rubbish mbona huwataji na kuwanukuu!? Hata mm naweza kusema wataalamu wamesema, nikisema haimaanishi kweli wamesema. Evidence!?
Unataka kubisha kwamba katika mchanga unaosafirishwa (kama mchanga) ndani yake hamna madini!?
Ukweli ndio huo na sio maneno ya kubumba tu ni utafiti wa wataalamu (unless una ushahidi wa utafiti mwingine) kwenye mchanga unaosafirishwa kwenye makontena yapo madini ya aina mbali mbali.
Swala la kudai trilioni 400 au la halihusiki na ukweli wa uwepo wa madini kwenye mchanga. Tatizo lipo/lilikuwepo kwenye mikataba.
Nimekuwekeeni na nukuu kutoka AFDB na GFI nazo ni professional rubbish!?
Kuwa muungwana basi walau kidogo. Mtu anaweka hoja na kuzilinda na nukuu kutoka kwa tafiti mbalimbali za taasisi zinazofahamika wewe unakuja na maneno yako matupu tu mfano wa mlevi si sawa!!
Alafu ni Mruma sio Mluma
Tunaanza taratibu mara platoon nzima inahamaia ukraineThe Pentagon and the State Department are actively discussing the possibility of sending the US military to protect the embassy in Kyiv, but there is no decision yet.
View attachment 2241221