The Canadian Ministry of Defense announced that it would send more than 20 thousand shells to Kyiv for 155-millimeter M777 howitzers, which were previously delivered to Ukraine.
20220502_010825 (1) (1).png
 
The US administration believes that Russia should permanently lose the benefits of participating in the global economy, said the head of the US Department of Commerce, Gina Raimondo. In her opinion, any discussion of the possibility of normalizing relations with the Russian side is premature.

The minister also ruled out the possibility of an early lifting of export restrictions on Moscow.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Super power hawezi kugwaya proxy -war kama tunavyoaminishwa humu na ndiyo maana tunasema kama Mrusi akiendelea na vita kwa muda mrefu uchumi wake utaporomoka vibaya mno, cha msingi aachane nayo.
Kwamaana hiyo US sio super power kwani ni muoga kweli wa proxy-war.
Tulimshuhudia kule Iraq akitalii angani baada ya UN kumsaidia kuichunguza Iraq na kugundua hana ulinzi madhubuti wa anga.
Huku chini akawaachia waarabu
 
ICRC imesimamisha utoaji wa dawa,. Kwa sababu hii, maelfu ya watu walioambukizwa VVU hawataweza kupokea matibabu. Kumbuka kwamba katika Urusi pia kuna hali ngumu na VVU. Urusi inaongoza katika suala la usambazaji katika Ulaya.


Nenden telegram mkaone warus wanavyolia huko kwa hasira
Wamarekani wa Buza wanalia zaidi kwa kukosa vilainishi na ARVs. Bwana wao yupo bize na Ukraine. Sishangai wakiichukia Russia
 
Yaani n hivii kwa mfano wewe apo(Ukraine) unaugomvi na mm(Russia) ila kuna mtu n baunsa kama mimi(NATO/US)nae pia ni adui kwangu ivyo kupitia vagi langu na ww anauchukua mkono wako ananitwanga ngumi( Proxy war).Umeona hapo ni kwamba hajanipiga direct ila anakutumia wewe sasa wewe kwa kujua au kutokujua unachakazwa.

Nimeona nikufungue macho.
Huyu anahitaji mwalimu wa Fizikia labda.
 
Unafikiri EU ana pesa za kuchezea? Kwanza alipoomba hizo $5 bil wakamshangaa.

Pia, Sasa hivi kila nchi zimeshafikia kikomo cha kutoa misaada, ndio maana huoni Tena zile mbwembwe za Kama awali.

Kama Ukraine angelikuwa anaonyesha kushinda hii vita, jamaa wangekuwa na moyo wa kuendelea kumsaidia.

Lakini kila msaada wa silaha wakimpatia zinaishia kuchomwa Moto. Sasa nani ataendelea na biashara ya namna hii..?
Wewe ndio msemaji wa EU ?
 
Back
Top Bottom