Hadi kichef chefu, hapa nasubir kuona solidarity ya waarabu kama kweli wana misimamo ya tamaduni zao.

Dah hii ndio Democracy inayolazimishwa duniani. Af nashangaa kwanini Recently hii mambo inapigiwa chapuo wazi wazi tena kwa nguvu mno... kuna nini?
Ni swali la kujiuliza sana,kuna nini nyuma ya pazia?, Hii inawezekana zile hadithi za us kutumia mashetani wakuu katika majukumu yao ya future moja ya maagano walio wekeana ni haya.Kwa maana haingii akilini kinyume na hapo.
 
#Caption Challenge to Pro Russia,

Wadau karibuni tufurahi, tushindane kutoa Caption ya hizi picha mbili, kesho tutangaza mshindi kutokana na wingi wa reactions kwenye Caption yake.

Picha ya kwanza
View attachment 2228449

Picha ya pili
View attachment 2228451

Hint: Caption ziwe sentence 2.. First one iwe kama kwenye picha, Putin akimwambia jambo Medvedev, then on the second Caption iwe kama ilivo picha ya pili, a "Medvedev reply" to Vladimir Putin.

This is for funny, Taarifa bila wadhamini haipendezi. Ok karibuni
1 Mkuu unaupiga mwingi mapaka panyarodi wamesarenda wenyewe
 
View attachment 2228392

Russia's current account surplus is soaring. The average current account surplus every April from 2007 - 2021 is +$6.7 bln In April 2022 it was +$37.6 bln. Western sanctions only harm those countries that imposed them.
Kuna watu watanuna wapo busy na mji wa mauripol na mateka .Baada ya May Russia hawapigani tena
 
Pro US: US hakushindwa Afghanistan, US ni Military Superpower in the World.

Matt Gaetz-US Congressman:
IMG_20220518_022701_938.jpg


A humble Pro Russia: US ni level ya Somalia 😂.
 
Mi mwenyewe nina boss wangu yeye kasema kabisa siku PUTIN akivamia tu POLAND basi kwa furaha yake iyo siku atununua ng'ombe watu wale nyama
Wewe masikini boss wako naye masikini.
Ng'ombe mmoja Maksai anauzwa kati ya laki 5 hadi sita nusu kwenye minada ya kanda ya kati kwenda kanda ya ziwa wewe unashindwa kununua?
 
Nimekua nikifatilia kwa karibu reports zinazotolewa kwenye vyombo vya habari vya magharibi kuhusu taarifa za hapo Azovstal.

Nilichokiona ni kua wamekua wakifanya juhudi kutumia maneno kama Exchange, extract, evacuate na transfer

Hola hola my people, all wonderful words to use when trying to avoid that one word ... surrender.
Wanashangaza saana
 
Wizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".

Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.

Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.

Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.

Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.

Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
 
Helicopter ya Russia yadunguliwa huko UKRAINE 🤔
The remnants of the destroyed Russian helicopter in the village Mala Rohan, Kharkiv oblast, 16 May

📸AP
FB_IMG_1652846682943.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom