Sema mwamba kuna kitu hakipo sawa kwako, so unapenda kuona habari za Ukraine akipigwa tu et! Ndio utaiona sio habari ya kishabiki

Hujui kwamba hiyo ni vita lazma na mrusi apigwe na angekuwa hapigwi mpaka sasa vita ingekuwa imeisha.

View attachment 2208504
Yaan najua vita lazima kila upande uumie, lkn kwa vita hii UKRAINE ameumia zaidi, si umeona hadi ikuli imezuiliva na viroba vya mchanga??
Nachoshangaa ni watu kuaminishwa watu kuw URUSI anakula kichapo kikubwa na anakaribia kushindwa vita.
 
Guys Picha za kutisha wajeshi wa Ukrain wanapukutika. Kwa ruhusa yenu naweza kuziweka.

Weekdays of war, Izyum front

The evacuation of the corpses of abandoned soldiers of the Armed Forces of Ukraine, they were not needed by their own, they did not pick them up.

Ukraine hali ni mbaya sana unaweza shikwa na huruma sema kwakua comedy wao ameshikwa MATACORE na US unamwacha atakuja pata akili tayari nchi imegawanywa vya kutosha
 
Bwashee hii vita inakula kotekote Kwa Waukrain na Warusi Superpower no.2.Inasemekana askari wengi waliokufa na WA Urusi .Hii imefanya Putin kuua hata raia huko Ukraine Ili kulipiza kisasi.Kwenye hivi vita Russia na Putin caught in surprise.Hawakutegemea resistance ya aina hii Toka UKRAINE 🤔
Wewe weka ushahidi tuone. Mbona maneno meengi. Mimi nakupatia live from battle field.
 
Kituko kingine hiki...

Upande wa kushoto ni taarifa iliyotolewa na New York post April 29, wakidai Ghost of Kyiv kauwawa kwenye battle na "Identity" yake imekuwa revealed...

Chombo hicho hicho cha habari siku tatu baadae yan 1st May wanatueleza kua Yulr Ghost wa Kyiv doesn't actually exist... wakidai Ukraine Regime wamesema ...

View attachment 2208734

So this means that zile taarifa zote za awali kuhusu matukio yaliyofanywa na Ghost of Kyiv walikua wanatudanganya...

Wajomba mie naona ukweli huwa haufichwi labda kucheleweshwa tu au nyie mwasemaje

Wanadanganya mpaka wanasahau
 
Wakuu wanajeshi wa Ukraine hawaishi au NATO wanaingia kijanja Ukraine.

Kwa vichapo mbalimbali tangu vita ianze. US NATO wanapataje ujasiri wa kutuma silaha wakati servicemen wa Ukraine wameshapukutishwa vibaya?
Na Ukraine hawajarudi nyuma, wanashambulia na kujilinda... Leo wamepiga tena meli
 
Inavyoonekana NATO wana taarifa zote za walipo warusi Ukraine na wakuu wao. Wanaamua tu kuchakata mmoja baada ya mwingine.

Haiwezekanj msafara wa vigogo wa jeshi uwe exposed na kulipuliwa kama MTU anachoma siafi.

Hata Osama mwenyewe alikuwa mjanjamjanja. General Millar mtalebani ndio hawakumuona kabisa.

Hawa warusi wanafeli wapi.
Sasa kama vifaru 230 vimetoka Poland hadi kuanza frontline mtu hajajua....
Kama TB2 zinaingia kila siku na hajui zatokea wapi

GRU,FSB hawana intel kali kuzidi CIA, MI6 na wengine wa 5 Eyes combined
 
Bwashee hii vita inakula kotekote Kwa Waukrain na Warusi Superpower no.2.Inasemekana askari wengi waliokufa na WA Urusi .Hii imefanya Putin kuua hata raia huko Ukraine Ili kulipiza kisasi.Kwenye hivi vita Russia na Putin caught in surprise.Hawakutegemea resistance ya aina hii Toka UKRAINE 🤔
Tunataka vitu live kama hivi:-
The work of army aviation on the Izyum front.
 
Sasa kama vifaru 230 vimetoka Poland hadi kuanza frontline mtu hajajua....
Kama TB2 zinaingia kila siku na hajui zatokea wapi

GRU,FSB hawana intel kali kuzidi CIA, MI6 na wengine wa 5 Eyes combined
Nano anaendesha hivyo vifaru. Silaha ukiziangalia in kana kwamba watumiaji ambao no jeshi LA Ukraine linaongezeka badala ya kupungua.
 
Wakuu wanajeshi wa Ukraine hawaishi au NATO wanaingia kijanja Ukraine.

Kwa vichapo mbalimbali tangu vita ianze. US NATO wanapataje ujasiri wa kutuma silaha wakati servicemen wa Ukraine wameshapukutishwa vibaya?
Bado mkuu na hawawezi kuisha ijapokuwa wanashindwa ila hawawezi kuisha wote.

Ukraine jeshi lao lilikuwa na active personnel almost 200,000 na reserve 500,000 ni ngumu kumaliza jeshi kubwa namna hii kwa operation ya siku 67 tu. Keyword 'operation'.

Operation inaendelea na jeshi linazidi kufubazwa. Mpk kufikia siku ya 90 litakuwa limelemaa kabisa. Nchi ya Ukraine itakuwa imepoteza maeneo mengi probably itakuwa imekatwa vipande viwili.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom