Jamhuri ya watu wa Luhansk na Donesk (LPR na DPR) Wanashukuru mno generous donation waliyopata kutoka US na NATO....

Hivi wadau mshawah pata walau picha kutoka upande wa hawa Nazi za vifaa vya kirusi walivovikamata kama hawa DPR na LPR wafanyavyo?

View attachment 2208274

View attachment 2208275

View attachment 2208276

View attachment 2208278

View attachment 2208279
Wanachonifurahisha warusi hizi silaha wakizikamata hawazitumii wao, wanazipeleka kwa wanamgambo wa luhansk na Donetsk. Yaani wao hawazihitaji, dharau iliyoje!?
Wakati Nato wanawapa ukraine silaha wajue kuwa wanawapa na waluhansk na wadonetsk pia.

Wanaume wanazidi kusogea. Muda sio muda na Odessa itakwapuliwa nchi ibaki land locked. Wakati huo na Moldova ikikaribiwa. Mwezi mmoja baadae nchi inagawanywa vipande viwili komedian anaachiwa kakipande katakachobakia. Avune alichopanda

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pro RUssia mmesikia kuwa kuna generali alienda kwenye ukaguzi wa kijeshi msafara wake ukashambuliwa na Ukraine?

Intelejensia ya Ukraine ina taarifa nyingi sana, pengine kuna watu ndani ya jeshi la Russia wanavujisha taarifa muhimu
Taarifa imetoka kwa Viktor kovalenko afu wewe unakuja kuipamba intelijensia ya Ukraine hapa. Intelijensia ipi!? Kabla tu ya vita Ukraine hawakuwa na intelijensia yenye nguvu ndio waje wawe nayo sasa hivi washapigwa wakachakaa!?

Tumieni akili enyi wamagharibi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russian chief of staff/mkuu wa majeshi wa Urusi akoswakoswa na KOMBORA huko Ukraine
️“An unusual event,” this is how the US described the arrival of the Chief of the General Staff of the Russian Federation Gerasimov to the front line.

Two senior officials confirmed to the NYT that he was indeed under Raisins. Ukraine found out about his arrival and hit the positions where Gerasimov was. However, they managed to evacuate him.

"Our working theory is he was there because the Russians admit they haven't solved all their problems," the White House says.

View attachment 2208306View attachment 2208306
Endeleeni kuota mkija kuamka kherson ishaenda

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vizuri mkuu, maswali mazuri.

Ila kabla ya yote, turudi mwanzo kabisa

Je Sheria ipi ina ruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine?

Je Russia ame obey international law/agreements ama ameviolate?

Pia soma hapa. Utajua kwanini mataifa mengi yanajielewa yako against russiaView attachment 2208552
How can you sensibly be against Russia given this 👇background?You are very unreasonable and irrational!





 

Attachments

  • VID-20220314-WA0000.mp4
    27.3 MB
1. Putin alikiri kupoteza askari 1500.
2. Alikiri hivyo kipindi alishaonja joto la kyiv.
3. Kama alikuwa na askari 150,000 ukraine, askari 1,500 ni asilimia 1 tu ya kikosi chake. Hapa naomba nieleweke kuwa kadri alivyokuwa anasonga mbele, alikuwa anaongeza wengine ili kulinda alipokamata.
4. kitu gani kikapelekea atoke kyiv na kurudi nyuma? Ofkoz namba za vifo zilikuwa ni kubwa mno ndo maana haraka saaaana akarudi nyuma kuachia kyiv.

Hapo mimi ndo nakubali kuwa ni kweli Russia amefeli pakubwa, hiyo askari 1,500 hakuwa sahihi. Na naamini alisema hivi ili kutovunja moyo askari waliopo vitani pamoja na wananchi wake.
Am curious na jeshi kubwa na lapili kwa ubora duniani, kupoteza battalion moja ndani ya nchi ya wakulima kama ukraine sio kawaida. Kuna kitu probably Russia ali mess up.
 
Enzi hizo,USA wakimuita OSAMA Ni warrior.

Majinga sana haya majamaa.
FRno7BZWQAIgS_1.jpg
 
Inavyoonekana NATO wana taarifa zote za walipo warusi Ukraine na wakuu wao. Wanaamua tu kuchakata mmoja baada ya mwingine.

Haiwezekanj msafara wa vigogo wa jeshi uwe exposed na kulipuliwa kama MTU anachoma siafi.

Hata Osama mwenyewe alikuwa mjanjamjanja. General Millar mtalebani ndio hawakumuona kabisa.

Hawa warusi wanafeli wapi.
Huyo mkuu wa majeshi aliyelipuliwa ni wa jeshi gani!?

Una habari watu sasa wanaelekea kherson!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom