Special thread: Wilaya zilizo fungua dirisha la maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017

Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
3,346
4,614
Kama kinavyo jieleza kichwa cha habari hii ni thread maalumu ya kupashana habari kuhusu wilaya ambazo tayari zimesha anza kupokea maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017.

1. Wilaya: Siha, Kilimanjaro.
Mwisho wa kupokea maombi: November 10, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo; Bofya HAPA

2. Wilaya: Rufiji, Pwani.
Mwisho wa kupokea maombi: November 13, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo; Bofya HAPA
 
Attachments

  • wilaya_ya_siha.pdf
    933.6 KB · Views: 113
  • wilaya_ya_rufiji.pdf
    33.8 KB · Views: 161
3. Wilaya: Simanjiro, Manyara.
Mwisho wa kupokea maombi: November 13, 2017
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo

4. Wilaya: Mbulu, Manyara.
Mwisho wa kupokea maombi: November 14, 2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo pakua nyaraka ifuatayo
 
Attachments

  • wilaya_ya_simanjiro.pdf
    420.9 KB · Views: 68
  • wilaya_ya_mbulu.pdf
    1.1 MB · Views: 57
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
 
naomba kuuliza km muombaji ni wa kidato cha sita.... je anatakiwa kuweka vyeti vya kidato cha sita na cha kuzaliwa pekee? au hadi vya la saba na form four
sorry ,, ndugu anangika anakosa ushaur,, msaidieni,, ameishia la saba 2009,, na ana chet cha kuzaliwa tu,, anaweza fanikiwa au ndo cheti chake kime expire
 
Back
Top Bottom