50 Inch unauzaje??LG SMART 4K 55 INCHES
WITH MAGIC REMOTE
1.4M
nakuketea buree dar
hata mkoani nakutumiaView attachment 1596107View attachment 1596106View attachment 1596105
50 Inch unauzaje??LG SMART 4K 55 INCHES
WITH MAGIC REMOTE
1.4M
nakuketea buree dar
hata mkoani nakutumiaView attachment 1596107View attachment 1596106View attachment 1596105
Kuna 32" startimes laki 3.ipo Moshistar X 42' .... nipo Moshi 500,000 ninayo mpaka ifike
kumbe samsung mpaka tv zao wana copy.mm nkadhan wana copy kwny smu tu!!!Copy hii
Hii ni smart mkuu??Kuna 32" startimes laki 3.ipo Moshi
Ina box lake na imetumika miezi 4View attachment 1596140
Nahitaji hisense inch 43" nipo Dar bajeti yangu ni 550k ambaye yuko serious tufanye biashara nichukue mzigo leo
Punguza mkuunauza STAR X smart 4k tv inch 65
tv bado mpyaa imetumika mwezi mmoja tu
ina box na kila kitu chake
1,300,000
0713799522View attachment 1589492View attachment 1589493View attachment 1589494
Samahan boss naomba kujua na ubora kati ya hizi aina za TV,, ipi ni bora zaidiAndroid tv inatumia mfumo wa android kam simu za android
Smart tv ni flat screen za kawaid tu ambazo hazjn mfumo wa android lkn zip kismat zaid
Zipi hizo bossSamahan boss naomba kujua na ubora kati ya hizi aina za TV,, ipi ni bora zaidi
Kati ya Android TV na Smart TV bossZipi hizo boss
Android tv ina features nying tu kam kuwez kuistall applications kam kweny cm kuingua YouTube n.k kam cm inavofany kaz so android iko vzr ukipata yenye android kuanzia 5
Kwa mahitaji ya tv njo dmShukran sana mkuu Mungu azidi kukubariki,, asante sana kwa ufafanuzi
Na LED vp chiefAndroid tv ina features nying tu kam kuwez kuistall applications kam kweny cm kuingua YouTube n.k kam cm inavofany kaz so android iko vzr ukipata yenye android kuanzia 5
Acha kimdanganya mwenzio, owani mkiwa hamjui ukakaa kimya utaonekana Mjinga? Eyi smart ninya kawaida imekaa ki smartAndroid tv inatumia mfumo wa android kam simu za android
Smart tv ni flat screen za kawaid tu ambazo hazjn mfumo wa android lkn zip kismat zaid
Smart TV ni TV inakuwa integrated na mfumo endeshi unaokupa uwezo wa ziada katika TV kwa mfano, kuwa na app au kufanya mirroring kati ya simu na TV kuunganisha na Internet nk.Jaman mwenye kujua utofauti kati ya Smart TV na Android TV naomba anisaidie
Na vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED badoAcha kimdanganya mwenzio, owani mkiwa hamjui ukakaa kimya utaonekana Mjinga? Eyi smart ninya kawaida imekaa ki smartSmart TV ni TV inakuwa integrated na mfumo endeshi unaokupa uwezo wa ziada katika TV kwa mfano, kuwa na app au kufanya mirroring kati ya simu na TV kuunganisha na Internet nk.
TV ya kawaida ni inayokosa mifumo hio, chukua mfano wa Simu ya kitochi na Smartphone. Moja ina basic features, moja inakupa uwezo zaidi wa kuintegrate kifaa chako na vitu au mifumo zaidi.
Android TV, ni smart TV. Yenye mfumo wa Android. Hivyo TV ikiwa tu na android tayari ni smart, mifumo mingine maarufu kwenye smart TV ni Linux, web OS ya LG nk nk
Hibyo TV inaweza kuwa smart isiwe na android, lkn TV ikiwa na android Tayari ni Smart
Mkuu mie najua ila naona uvivu kuandikaNa vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED bado
Hii ni android? na pia ina built-in decoder?samsung curved inch 65 4K ultra
used ila ni full box
kama mpya
2.2
0713799522
dar nakuketea buree
mkoani nakutumia kwa uaminifuView attachment 1600499View attachment 1600500
Dah mkuu unajua mengine uwe una Google tu. LED, LCD, CRT ni teknolojia ya Vioo au kwa kimalikia Display monitor, ya TV au Kompyuta na vifaa vingine.Na vipi tofauti ya hzo LED tv, Smart tv, na android tv, but nimeelewa tofauti ya android na smart TV. Lakini kuhusu LED bado