Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,197
- 1,643
Imekaa vzr... Bei ya kutuma mpaka shinyanga ikakuwa kiasi gani mkuu?
Imekaa vzr... Bei ya kutuma mpaka shinyanga ikakuwa kiasi gani mkuu?
Kwa makisio 130000, nzito hii na tunatumia EMS postaImekaa vzr... Bei ya kutuma mpaka shinyanga ikakuwa kiasi gani mkuu?
Kwa makisio 130000, nzito hii na tunatumia EMS posta
In shaa AllahSawa nitakutafuta next week mkuu.
Mkuu Abdulwahid nina offer ya 500k nahitaji smart tv yenye kisimbuzi ndani 32" 40" or 43" kampuni gani napata
Star X Inch 55 Inapatikana? Ni bei gani?900000 pamoja na usafir
Star x hatuna kwa sasa size hiyo, ila tunazo tcl, Samsung, lg, sony na BlackstoneStar X Inch 55 Inapatikana? Ni bei gani?
Hatari balaa nitumie model namba yake please niicheki onlineLG smart 4k UHD tv
43 inches
850,000
good condition
smart 4k UHD tv
slim tv
used from UK
free delivery in dar
0713799522
View attachment 1289620View attachment 1289621View attachment 1289622View attachment 1289623
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutumia mkuuMkuu Abdulwahid tafadhali husika na hizo post zangu mbili kuhusu hizo radio