Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Lg smart 43"
Brand new
Bri 900000
0777650286, 0718919725
IMG_20191007_092608.jpeg
IMG_20191007_091516.jpeg
IMG_20191007_091525.jpeg
IMG_20191007_091756.jpeg
 
Jamaa wako vizuri sana.

nimetoka Jana znz kwa hao Jamaa ofisi yao
nami awali nilidhani ni matapeli kama wengine
Mungu anisamehe sana!
Mwana JF yoyote ikiwa una mashaka nao basi ni vizuri ukaenda mwenyewe hadi ofisi zao ukajionea.

Ila nimefurahi kufahamiana nao
Kuonana nao
wamenisaidia mno kipindi chote nikiwa znz
nawaamini na iwapo kuna mtu ametapeliwa nao na awe wa kwanza kusema!
Kumbe sio wote ni matapeli humu

WATU WA ZANZIBAR NI WAKALIMU SANA
dini zao ndiyo nguzo kuu
 
Aiseeeeh tema mate chini,usijumuishe....kwa hawa jamaa hata mimi sikatai kuwa wapo vizuri sana na huduma zao ni nzuri sana ila kuna wajinga fulani wa znz kule kupatana ukiingia mkenge tu wanakupeleka malikiti....ni matapeli hatari
 
Yeah nimetema mate chini rafiki
Ila sijawazungumzia waznz wote
BALI
nimemuongelea ABDULWAHID na ofisi yake coz ndiye niliyekwenda ktk ofisi zao na kujionea kwa macho yangu Juu ya wanachokitangaza humu JF.

wahuni pia wapo znz coz kuna mwingiliano wa watu wengi sana kutoka sehemu mbali mbali
Ila wazawa asilimia kubwa ni watu wazuri.

Sema tu ktk msafara wa mamba siku zote kenge nao hawakosi
Hivyo huenda pia wapo wachache wasiokuwa waaminifu.

Ila dini ni nguzo kuu kwao na hivyo dhuruma kwao ni kitu wasichokipenda kabisa!
 
Nimefika mbali kimawazo mpaka nataman kumkabidhi mke huyu Bwana abdalla Rashid hajawahi niangusha
Yeah nimetema mate chini rafiki
Ila sijawazungumzia waznz wote
BALI
nimemuongelea ABDULWAHID na ofisi yake coz ndiye niliyekwenda ktk ofisi zao na kujionea kwa macho yangu Juu ya wanachokitangaza humu JF.

wahuni pia wapo znz coz kuna mwingiliano wa watu wengi sana kutoka sehemu mbali mbali
Ila wazawa asilimia kubwa ni watu wazuri.

Sema tu ktk msafara wa mamba siku zote kenge nao hawakosi
Hivyo huenda pia wapo wachache wasiokuwa waaminifu.

Ila dini ni nguzo kuu kwao na hivyo dhuruma kwao ni kitu wasichokipenda kabisa!
 
nimetoka Jana znz kwa hao Jamaa ofisi yao
nami awali nilidhani ni matapeli kama wengine
Mungu anisamehe sana!
Mwana JF yoyote ikiwa una mashaka nao basi ni vizuri ukaenda mwenyewe hadi ofisi zao ukajionea.

Ila nimefurahi kufahamiana nao
Kuonana nao
wamenisaidia mno kipindi chote nikiwa znz
nawaamini na iwapo kuna mtu ametapeliwa nao na awe wa kwanza kusema!
Kumbe sio wote ni matapeli humu

WATU WA ZANZIBAR NI WAKALIMU SANA
dini zao ndiyo nguzo kuu
Shukran mkuu, karibu tena Zanzibar, tunasema uaminifu wetu ndo key ya mafanikio yetu, karibuni nyote wakuu
 
Aiseeeeh tema mate chini,usijumuishe....kwa hawa jamaa hata mimi sikatai kuwa wapo vizuri sana na huduma zao ni nzuri sana ila kuna wajinga fulani wa znz kule kupatana ukiingia mkenge tu wanakupeleka malikiti....ni matapeli hatari
Hao kaka mkuu inawezekana hata hawapo hapa Zanzibar ila wanatumia jina la Zanzibar kutapeli watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom