The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,440
- 10,232
Nimependa jinsi unavyopenda kujua jambo kwa kina..mana kuna maswali mengine nilikua najiuliza, nakuta tayr umeuliza kwahy napata jibu safi kabsa unapojibiwa!Kivipi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa jinsi unavyopenda kujua jambo kwa kina..mana kuna maswali mengine nilikua najiuliza, nakuta tayr umeuliza kwahy napata jibu safi kabsa unapojibiwa!Kivipi mkuu
Hvi mpka kufika dar inagarimu bei gani
560000Hvi mpka kufika dar inagarimu bei gani
Hizi korea mkuu, ila zipo nyengn china piaMkuu hizo lg zinakua ni made on wapi boss
Mkuu nikitaka star x led inch 32 bei gani na je nalipia mzigo ukifika au maana nipo dsm mkuuStar x led 24" kwa 220000
Utalipa ukifika kama unataka hivo, 330000 mpaka unaipokeaMkuu nikitaka star x led inch 32 bei gani na je nalipia mzigo ukifika au maana nipo dsm mkuu
Ukiwa na Korea sema nikupe connection Mkuu Sawa nduguu zako wa bara wafurahie uwepo wakoHizi korea mkuu, ila zipo nyengn china pia
Ntakujulisha mkuuUkiwa na Korea sema nikupe connection Mkuu Sawa nduguu zako wa bara wafurahie uwepo wako
Vipi TCL unazo?Ntakujulisha mkuu
Zipo kiongoziVipi TCL unazo?
Iyo bei ni katika kuiagiza nje mpaka kuipata mkononi amaUtalipa ukifika kama unataka hivo, 330000 mpaka unaipokea
32" zinaendajeZipo kiongozi
40000032" zinaendaje
No i mean curved nch 32 bei ganHamna mkuu size hiyo
Samahanii ntaomb bei ya aina tofauti tofautiNo i mean curved nch 32 bei gan
Fanya subira mzigo upo njiani ntakuuzia kwa 420000 tu mpka dar