Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,759
- 1,555
650000
Mkuu vipii nikitaka ifike dar lkn ishatoka banarini yaan mtu akabidhiwe inakua beii gan
Mkuu vipii nikitaka ifike dar lkn ishatoka banarini yaan mtu akabidhiwe inakua beii gan
Hizo hatupakii siku hizi mana ni ghali hazina tofauti sana 32, mana mteja ukimwambia 24 ya samsung alipe 320000 anaona ghali wakati kwa bajeti hiyo unapata star x 32" na chenji inabakiMkuu buwa huleti inch ndogo mfano 24 hadi 28 kwa brands ya TCL,LG au SAMSUNG.
Anhaa nimekuelewa Mheshimiwa.AhsantehHizo hatupakii siku hizi mana ni ghali hazina tofauti sana 32, mana mteja ukimwambia 24 ya samsung alipe 320000 anaona ghali wakati kwa bajeti hiyo unapata star x 32" na chenji inabaki
Anhaa nimekuelewa Mheshimiwa.Ahsanteh
Lg inchi 43 UHD unauzaje?
Lg inchi 43 UHD unauzaje?
😅😅 Yaani unavyojipangia na hiyi laki moja na nusu ila niliskia kuna jamaa K/koo anafanya hiyo biashara anakuja kagua kama ni sehemu unapofanya kasi ushahidi na unapoishi kisha anakupa kideo.mi naitaji TV nchi 42 ila unanipa kisha nakulipa kidogo kidogo(kila mwezi) mpaka deni liishe.ukinipa nakupa laki 1 na nusu alafu kila mwezi naendelea kulipa
LG LED 43 sh ngapi?
Mkuu nini tofauti kati ya TCL Android tv na RoKU tv.Ilikua 1.05m ila kwa sasa hamna
750000LG LED 43 sh ngapi?
Me hata cjuiMkuu nini tofauti kati ya TCL Android tv na RoKU tv.
Kampuni gani?32" 470000
Mkuu man duka Dsm nikienda nahiyo bei napata?View attachment 370763View attachment 370764View attachment 370765
Lg led 32"
Model: 32LF550D
Price: 480000
Hiyo sio screen miring mkuu ni app ambazo zipo kweny hiyo tvKaka naomba msaada wa kufanya mirroring na mm km ulivofanya
Hatuna duka dar ila ukihitaj utaipata kwa bei hiyo hiyo popote tzMkuu man duka Dsm nikienda nahiyo bei napata?
Star x 24" kwa 220000Kwa bajeti ya 250k nawezakupafa TV aina gani na ukubwa gani