Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.
Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha
Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.View attachment 1084034View attachment 1084035
malipo ni baada ya kupata mzigo au inakuaje? Nipo arusha
 
Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.

Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha

Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.View attachment 1084034View attachment 1084035
Nitumie namba yako nahitaji tv niliona jamiiforums, nipo Lushoto.
Inchi 43 samsung mtumba.
0716282670
 
Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.
Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha
Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.View attachment 1084034View attachment 1084035
nilipiga simu akapokea sijui mke wako akaniahidi ukirudi utapiga naona umesharudi 😀😀😀😀😀
 
Nina hisense inch 50 Nataka kufanya exchange na samsung smart 55 naongeza na hela, TV yangu full box na warranty
 
Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom