Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

TV inch 24,
Aina Homebase

Bei 250,000 pamoja na bracket ya ukutani

Sababu ya kuuza - Nyumba nayohamia sijaingiza umeme

Contact 0784454614
IMG_20190419_132856.jpeg
IMG_20190419_132850.jpeg
 
Nauza
Samsung led tv
Inches 32- kwa 380,000tshs
Samsung plasma tv
Inches 43-kwa 400,000
Na sing sung led tv
25 inches
Kwa 230,000
Location mombasa ukonga
Njoo tuyajenge
Call/txt:0712654515
 

Attachments

  • A9590A90-81A9-42E5-B87F-8CC7602EC57A.jpeg
    A9590A90-81A9-42E5-B87F-8CC7602EC57A.jpeg
    336.7 KB · Views: 42
  • CF21339E-92F0-4B05-97E7-F688FC8B920D.jpeg
    CF21339E-92F0-4B05-97E7-F688FC8B920D.jpeg
    205.3 KB · Views: 45
Habari,

Nahitaji TV ya Samsung/LG au brand nyingine nzuri

Kuanzia 32" na kuendelea

Location iwe Arusha, Moshi au Manyara.
 
Habari,

Nahitaji TV ya Samsung/LG au brand nyingine nzuri

Kuanzia 32" na kuendelea

Location iwe Arusha, Moshi au Manyara.
Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.

Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha

Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.
IMG_20190422_095526_606.jpeg
IMG_20190420_114225_259.jpeg
 
Kingamuzi cha azam kinauzwa dar
Bei 50,000/=

Pia TV +bracket inauzwa
Inch 24 bei 250,000
Ni led TV Hdmi cable/AV Cable +Usb
Kwa aliye sirius bei unafungua

Nicheki
0784454614
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom