Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Ndo kwanza kuna wajinga na wajuaji wanalilia rocu tv
Mda mwingine tunaitaji tu Tv zenye format hio 4k ila kuzitumia atuzitumi coz DStv,Azam,zuku,startimes, n.k Hakuna inayorusha picha yenye format hio UHD na ukisema udownload video ya dakika 3 km vile music ya Ali kiba, daimond unakuta ni MB500 Sasa km video ya dakika 3 ni MB Zaid ya 400 je movei ya 2hours? Smtmz Tv yenye format ya 4k kibongobongo ni Kama pambo tu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tcl smart 32" 400000
0777650286, 0718919725
20190120_180711.jpeg
20190120_180603.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Posta hyo hyo mkuu,wale mamother pale ni wakuda kweli ukijumuisha na jamaa flan hivi ndo anayedili na hzo.hayo mahesabu niliyopewa nilichoka ikabidi nikalipie tu kwenye account yao nmb ninusuru mzigo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia aliexpress standard shipping au njia ipi maana mbona simu yenye thamani ya dollar 172 haijalipiwa hizo gharama au ilikuwaje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom