Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wewe unayejiita mtu Kati stress zitakuua sikujua km umekuja kulialia na Jf pia nilijua ni kule Instagram tu..wew lini umenunua item kwangu then aujaipata hio item?? THIBITISHA..swala lako ni police case umeshalifikisha ktk sheria Sasa mbona kila sehem nakuta mipasho yako? Mwanyamala,dukan magomeni, kigamboni..kama unafika mpka kwa fundi tv unashindwa kulipa cost za TV yako mbovu Hizo stress zako tafuta pakuzipeleka km mahakamni pia unaona sio sehem sahihi..I told u Sina sehem ya kuifadhi tv mbovu Wala Sina godauni la kupokea item mbovu..pia hapa sio sehem yangu ya kuzungumza ahadi yetu tarehe 20 nakusubir

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuwa makin na biashara yako kutoa maneno makali aitakusaidia kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau anauza TV yake star x inch 43 smart
Yupo kinondon Bei 700000/=
Mawasiliano yake 0712147420
IMG-20171023-WA0015-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
IMESHAUZWA HII TV
 
Mda mwingine tunaitaji tu Tv zenye format hio 4k ila kuzitumia atuzitumi coz DStv,Azam,zuku,startimes, n.k Hakuna inayorusha picha yenye format hio UHD na ukisema udownload video ya dakika 3 km vile music ya Ali kiba, daimond unakuta ni MB500 Sasa km video ya dakika 3 ni MB Zaid ya 400 je movei ya 2hours? Smtmz Tv yenye format ya 4k kibongobongo ni Kama pambo tu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliagiza anker soundcore pro km $64.5 kwa pre order price,ila kilichonikuta wakat naendw kuchukua hyo speaker nilijuta kwan gharama za kodi+custum duties zilifika 45% ya bei niliyonunulia bidhaa.Wale jamaa pale wako km kutukomoa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia njia gani mkuu? Maana kwa posta kuna tozo za VAT tu, kama mzigo umefikia viwango vya kulipia kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wew Ticha Mimi sikujua km wew ni choko ningekuwa nishakupa stahiki yako mapema Sana japo huwa sifanyi machoko..yanii wew kila sehem ukisikia salum lazima usimamishe matako yako..nilikutumia item sio? Uliposema item ni tofaut na model uliyotaka je ukupata pesa zako? Na mbona uliendelea kuitaji item kwangu? Na hio simu anayotumia mkeo umeitoa wapi? Nilipotuma tv guard na HDMI balance yangu iliyobaki kwenu wew na mwenzio mlinimalizia?ulishawai kuona nalialia Nilishakwambia toka mwaka juzi Tabia za kichoko na za kimpunga acha wengine tumeshastaff kuwaingilia machoko

Sent using Jamii Forums mobile app
TCL,BOSS au EVOLI Smart 32"
Nina laki 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom