mkwepu jr
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 558
- 1,015
mkuu kuwa makin na biashara yako kutoa maneno makali aitakusaidia kituWewe unayejiita mtu Kati stress zitakuua sikujua km umekuja kulialia na Jf pia nilijua ni kule Instagram tu..wew lini umenunua item kwangu then aujaipata hio item?? THIBITISHA..swala lako ni police case umeshalifikisha ktk sheria Sasa mbona kila sehem nakuta mipasho yako? Mwanyamala,dukan magomeni, kigamboni..kama unafika mpka kwa fundi tv unashindwa kulipa cost za TV yako mbovu Hizo stress zako tafuta pakuzipeleka km mahakamni pia unaona sio sehem sahihi..I told u Sina sehem ya kuifadhi tv mbovu Wala Sina godauni la kupokea item mbovu..pia hapa sio sehem yangu ya kuzungumza ahadi yetu tarehe 20 nakusubir
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app