Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hamna app yoyote unaeka mzee kwenye Golive. Youtube ipo freshi na browser ipo slow kimaku.
Wacha nichukue bongo tu sasa ya kawaida mzee baba

Lakini smart si inafanya kazi poa?

I mean nnaweza kupita mzigo wa net kama kawaida magoogle youtube ku-install vi-app
 
INAUZWA
1Trrabite trancend external drive
Condition used

Bei 100000
FB_IMG_1547485317105.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wanalilia tu hizi Roku TV, kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida ni ghali sana, coz kwa huduma kama Netflix na Vudu zina malipo ya kila mwezi pia unatakiwa uwe package ya internet ya kutosha, sidhani kwa baadhi yetu kama tunaweza afford. Ni bora Android TV unaweza kuweka Apps kama Kodi, Startimes etc ambazo hautumii gharama kubwa.
618Eh1yijKL.jpeg

View attachment 994967

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wengi humu awaelewi ilo swala wanajitia wajuaji tu. Now wapo busy wanagoogle subir watakuja kubishana soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga tu, wanajifanya wajuaji hawana lolote, wakiulizwa kwenye hizo rocu tv kuna nini cha zaida wanaufyata, rocu tv ni nini? Kimya
Naona watu wanalilia tu hizi Roku TV, kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida ni ghali sana, coz kwa huduma kama Netflix na Vudu zina malipo ya kila mwezi pia unatakiwa uwe package ya internet ya kutosha, sidhani kwa baadhi yetu kama tunaweza afford. Ni bora Android TV unaweza kuweka Apps kama Kodi, Startimes etc ambazo hautumii gharama kubwa.
View attachment 994967

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga tu, wanajifanya wajuaji hawana lolote, wakiulizwa kwenye hizo rocu tv kuna nini cha zaida wanaufyata, rocu tv ni nini? Kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitukane raia mzee. We ni mfanyabiashara heshimu maoni ya wateja. Mteja akihitaji brand flani anatarajia uwe nayo maana unauza tv na kwa mfanyabiashara makini na hata kama kitu hicho huna kuna namna ya kusawazisha hilo kwa hoja tulivu bila matusi kwa mteja. Usimpangie mtu eti Roku ni nini! Kuwa na mali anayehitaji anajua anachotaka.

Otherwise na wewe utakuwa mpuuzi tu usiejua roles zako.
 
Naona watu wanalilia tu hizi Roku TV, kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida ni ghali sana, coz kwa huduma kama Netflix na Vudu zina malipo ya kila mwezi pia unatakiwa uwe package ya internet ya kutosha, sidhani kwa baadhi yetu kama tunaweza afford. Ni bora Android TV unaweza kuweka Apps kama Kodi, Startimes etc ambazo hautumii gharama kubwa.
View attachment 994967

Sent using Jamii Forums mobile app
Roku Tv ni current brand za TCL ziko enhanced na features nzuri zaidi tofauti na haya ma Golive tv hayana ishu yani na FYI zile apps unazoziona mle nyingi TCL wana mkataba nazo hivyo mtumiaji atakachohitaji ni bundle tu ku access content. Ila kwa android tv apps zile zile utalipia ili kupata contents.
Screenshot_2019-01-15-18-12-22.jpg
 
Usitukane raia mzee. We ni mfanyabiashara heshimu maoni ya wateja. Mteja akihitaji brand flani anatarajia uwe nayo maana unauza tv na kwa mfanyabiashara makini na hata kama kitu hicho huna kuna namna ya kusawazisha hilo kwa hoja tulivu bila matusi kwa mteja. Usimpangie mtu eti Roku ni nini! Kuwa na mali anayehitaji anajua anachotaka.

Otherwise na wewe utakuwa mpuuzi tu usiejua roles zako.
Aisee mbona na wew unamuita mwenzio mpuuzi? Anachosema dula ni sawa humu Hakuna wateja hata kwa Hizo item wanazojitia kuulizia wengine Awana hata umeme makwako mnaponda item za watu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom