Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuuliza si ujinga.. Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kuchomeka kwenye TV halafu ukatumia hicho kifaa kuchomeka flash drive? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna TV hapa nimeweka ukutani lakini inakua ngumu kidogo kufikia usb port.
 
Vipo vingi tu Mkuu inategemea Tv yake ina ports zipi na zipi pia swali lako halijaeleweka vizuri tatizo ni Tv imebana ukutuni au vipi hujaeleweka vizuri nyoosha swali.
 
Kuuliza si ujinga.. Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kuchomeka kwenye TV halafu ukatumia hicho kifaa kuchomeka flash drive? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna TV hapa nimeweka ukutani lakini inakua ngumu kidogo kufikia usb port.
Kwa juu juu Nilichokielewa ni hiki tafuta huu waya unaitwa Usb 2.0 Male to Female hapo kushoto ni Male(Dume) unachomeka Tv kisha hapo Kulia ni Female(Jike) unaweka Flash mtindo umeisha.
-951522378-700204194.jpg
 
Ilikuwaje mkuu mpka ikawa hivyo?

Tunaomba kufahamu kama hautojali lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni story ndefu sana ila jamaa ana Tv zangu mbili tangia mwanzoni mwa December tumefanya biashara fresh lakini kupata mzigo wangu imekuwa mtihani...kuna hatua ambazo tayari nishazichukua na ninaamini kupitia haya ninayoyafanya sasa hivi tv zangu nitazipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!

Hiyo bei poa nairobi ni bei gani?
 
50 ni around 1.3m unapata tena ya Roku tv sio zile Linux za Go live tv tunazouziwa k.koo. Usishangae wakianza kuleta Roku Tv watauza 1.7m kwa 50" screen hapo k.koo!

Wacha nichukue bongo tu sasa ya kawaida mzee baba

Lakini smart si inafanya kazi poa?

I mean nnaweza kupita mzigo wa net kama kawaida magoogle youtube ku-install vi-app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom