Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hamkuuliza hivo, mmekuja na dharau kwamba tunaleta matv yazamani ya mwaka 2015, kama vile iyo mnayoiulizia ni tv bora na ya gharama kuliko zote ambazo sisi hatuwezi kuleta
Ss mkuu ww ni mfanyabiashara na ss ni wateja na siku zote mnatakiwa kuyafanyia kazi maombi yetu km yapo chini ya uwezo wenu.Soko limebadilika ss unapata bidhaa bora kwa low budget ila wengi bado mmekazania kwa top brand tu.
 
Jamaa hawajui customer care skills hao, biashara haziendi hivyo wao wanalazimisha wanavyotaka wao tuvipende haiwezekani!
kweli mkuu , afu sorry hizo roku tv naona zina sifiwa sana, hivi zina sifa gani spesho ukiachana na hiz tcl za kawaida
 
Lg inch 55 smart UHD new brand...
Bei 2000000/=
IMG_20181126_205503_126.jpg
 
Samsung led Panel tv inch 55 zipo 4...55×4.....bei 5000000/=
Ina port zote za kisasa yani hdmi, usb, vga, audio out port
unaweza kuitumia kama projecta, presentation ktk collage, offisini, ktk mabanda ya kuonyesha mpira, matangazo ya kampuni n.k
#kazkaz
IMG_20181203_171338_948.jpg
20181203_141653.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom