BNL_ELECTRONICS
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 1,290
- 129
LG 43" Smart 4K UHD TV(2017)
Model: 43UJ634V
Bei: 1,250,000
Contact: 0713086602
Model: 43UJ634V
Bei: 1,250,000
Contact: 0713086602
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio account unayoizungumzua ipo open kibiashara kila siku mbona sijawai kukuona ukisema nimefungua ubongo?? acha mipashotoa instagram yako private wewe fungua ubongo kibiashara wewe sio account yako personal fanya biashara toa private watu wengi waweze kuona biashara yako hata kama hawajakufollow
Naona TBC imekuvutia mpaka umeanza kuitafutia TV yenye sifa zote hizo!Natafuta tv kali kuliko zote nina 4mil.
Iwe na 3D. Na miwani yake.
3d ifanye kazi sio pambo.
Hahah. Samsung yangu ilipasuka wakati nahama , kuna mchina akafika bei nikamuachiaNaona TBC imekuvutia mpaka umeanza kuitafutia TV yenye sifa zote hizo!
poleeeee! Bado nafuatilia channel tulizobakiziwa ili nikija PM niwe kamili kabisa.Hahah. Samsung yangu ilipasuka wakati nahama , kuna mchina akafika bei nikamuachia
Ila mbona hujanitafuta pm sasa?
mpigie huyo muhindi 0659460231 mwambie no amenipa Mengi nenda kachague tv unayotaka ya 3D na full miwaniNatafuta tv kali kuliko zote nina 4mil.
Iwe na 3D. Na miwani yake.
3d ifanye kazi sio pambo.
Poampigie huyo muhindi 0659460231 mwambie no amenipa Mengi nenda kachague tv unayotaka ya 3D na full miwani
Dishi lina ukubwa ganPata Receiver 3 kwa bei 1:
(1)Speed HD s1(support modem & simcard for IPTV streaming)
(2)Strong Receiver SRT 4669X
(3)Humax IR HD 1000
jumla vinauzwa 180000/
pia kama utaongeza 20,000/ utapatiwa na dish ambalo utaweza kufunga
Ft 6
Ofisi zipo wap ?new star x tv inch 32 bei 400000/=View attachment 837248View attachment 837249
magomeni mapipa, kariakoo, machinga complex, and kawe piga 0629565168 duka lolote utakaloweza kufika ktk sehem hizo utapata item unayoitajiOfisi zipo wap ?
Poa poamagomeni mapipa, kariakoo, machinga complex, and kawe piga 0629565168 duka lolote utakaloweza kufika ktk sehem hizo utapata item unayoitaji
Warranty miaka mingapi ?magomeni mapipa, kariakoo, machinga complex, and kawe piga 0629565168 duka lolote utakaloweza kufika ktk sehem hizo utapata item unayoitaji