Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,223
huwez kupata kwa bajeti hiyo
ni bei gani sasa,inch 20 flat?,pia kuna ndogo zaidi ya hapo flat?
huwez kupata kwa bajeti hiyo
ni bei gani sasa,inch 20 flat?,pia kuna ndogo zaidi ya hapo flat?
uzi mzuri sana huu ila isiwe tv tu ila iwe inajuamuisha home electronic appliances zote.
Ushauri tu.
mkuu samsung hawatoi 42" wanatoa 40", mpya kabisa ni laki 8, series 5. Karibu tupo zanzibar, mtendeni street, 0718919725
nahtaj tv nina elfu 30
kaka inch32 bei ikoje
Mi nataka flat screen inch 42 samsung hd led
Inch 40 kiasi gani mkuu