Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,060
Si uende dukani kama unataka mpyaNataka Samsung smart TV 55" LED mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uende dukani kama unataka mpyaNataka Samsung smart TV 55" LED mpya
Ungekaa tu Kmya kuliko kutuonyesha ujinga wako
Kaka mafriji unauza au unayo ??470000, inachukua cku 2 kiongozi
Mafriji hatuna mkuuKaka mafriji unauza au unayo ??
Huez kuniungnshia kw mtu hko unaemfahamu haf ukaagizia mpk hapa dar ili hela nimpe mtu unaemfaham hapaMafriji hatuna mkuu
Hao kuku wako ni lcd led au olednatafuta wanunuzi wa kuku aina ya saso <chotara> ...ni wakubwa wamefika kg 2.5 mpaka 3 kg ....bei ni 10000tsh kwa kuku mmoja ,wapo kuku 4000...NAPATIKANA IRINGA MJINI
.KUKU WANGU NI WAZURI SANA
0744199435
hyo asali yako ina tv
Mkuu nataka brand yeyote flat nipe bei inch 21 kwa ajili ya biashara ya PS Gaming nataka niboreshe kidogoHapana hiyo ni bei ya kuinunua tu hapa Zanzibar, mpaka huko ni 700000