Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

IMG-20170712-WA0000.jpg

Brand new Star X smart tv 4K UHD 49 inch
Display Resolution: 3840 x 2160 pixels
Ultra thin
DVB T,DVB T2
Wifi and LAN connectivity
1,200,000/ Fixed
 
brother be care uletewe mzigo mpaka home...m nmenunua mzigo kwa jamaa huyo akaahid ntaletewa hadi home ulipofika bandarin agent wake akanambia nikauchukue.nikaona sio kesi...mzigo ulikua na thaman ya 850k akanambia niongeze 100k....nilipochukua mzigo nikapewa risit haijalipiwa TRA....nikakamatwa na polis kumpigia sim agent akapokea akanambia nimalizane na askari watanirudishia pesa yangu m nikawapoza askari 60k. nilipompigia sim anirudishie pesa zangu aliniruka abdulwaheed mwenyewe ...so be care....kama ni uongo aje anipinge na mzigo ulikua tv star x 50 inches
Hii 100000 ni hela ya usafiri na sio kwamba nilifanya nje ya makubaliano, 850k ni hela ya kununua hapa zanzibar mkuu, sasa ulitaka gharama zacusafiri na kodi nilipie mimi, ndo maana nikakuambia kwa 950k ndo nimekusafirishia, ili la askari kukupiga 60k ni wewe ulishindwa kujieleza wakakuibia hiyo hela, sisi tumekukabidhi tv kama tulivokubaliana, yaliyotokea baada ya hapo is non of our bussiness
Halafu kama ulitaka uletewe mpaka home ungelipia kwanza hela, tungekuletea mpaka mlangoni, lakn hatuwezi kukuletea mpaka nyumbani kwako wakati hela hujalipa? Ukiamua kutuchenjia uko vichochoroni? Wapo watu nawasafirishia mpaka majumbani mwao lakni baada ya kulipia mzigo sio kulipia baada ya mzigo kufika
 
Ndio inawezekana kutuma TV kwa njia ya bus lakini sijawahi tuma kwa basi hilo,je kuna basi jingine zaidi ya hilo mkuu?
Falcon linafika huko?
Hili ndo easiest way ya kutuma na jamaa wako makini sana na basi lao ni luxury sana hivyo uwezekano wa mzigo kufika salama ni mkubwa.

Nenda Trinity ni kampuni ya Rwanda iko poa sana kwa usafirishaji.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu ukiwa ready ntaenda kukupakilia katika bus hilo.
 
Hii 100000 ni hela ya usafiri na sio kwamba nilifanya nje ya makubaliano, 850k ni hela ya kununua hapa zanzibar mkuu, sasa ulitaka gharama zacusafiri na kodi nilipie mimi, ndo maana nikakuambia kwa 950k ndo nimekusafirishia, ili la askari kukupiga 60k ni wewe ulishindwa kujieleza wakakuibia hiyo hela, sisi tumekukabidhi tv kama tulivokubaliana, yaliyotokea baada ya hapo is non of our bussiness
Halafu kama ulitaka uletewe mpaka home ungelipia kwanza hela, tungekuletea mpaka mlangoni, lakn hatuwezi kukuletea mpaka nyumbani kwako wakati hela hujalipa? Ukiamua kutuchenjia uko vichochoroni? Wapo watu nawasafirishia mpaka majumbani mwao lakni baada ya kulipia mzigo sio kulipia baada ya mzigo kufika
m nawapa alert wenzangu usije wafanyia utapeli kama mimi....kama 100k ni hela ya usafiri mbona uliandika risit ya 950k....na kama mzigo haukuwa na matatizo mbona nilipowaita mje kuwaelewesha polisi hamkuja mlikataa.....my take ni wenzangu wawe care biashara yako ni ya magumashi....
 
Sasa si 950k si ndo jumla ya gharama ya mzigo wako mpaka unakufikia? Eti kutapeliwa unajua kutapeliwa wewe? Nna miaka mingi nafanya biashara kila kona ya nchi hii, tena wanatuma hela kwanza ndo nawasafirishia mizigo yao, hakuna hata mmoja niliefanya kinyume na tulivokubaliana, wewe uzembe wako wa kushindwa kujieleza unaita utapeli ukapigwa elfu 50kwa thamani ya kitu cha 1m unalalamika? hata ukianzisha uzi, wa kuniita tapeli hutonipunguzia wala kuniharibia chochote, maana nimefanya biashara na wana jf zaidi ya 100 humu na hakuna niliemfanyia magumashi
 
sawa mzee wapige na wengine
 
Samsung inches 24 shilingi ngapi? mpaka Muheza tanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom